PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,135
Leo nimepita huko instagram nimeshangaa kuona kuna page za vijana wa kiume wamepost picha zao zenye mapozi kinyume na jinsia zao (ushoga) na nimeshangaa kuona katika hizo page zao watu wanakomenti kuwasifiha hicho wanachokifanya hii inamaanisha nini?kwa kweli shetani kawatoa haibu vijana wetu kwa huu upuuzi wanaoufanya!