Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 804
Najiuliza sana haya maswali pasipo kupata majibu ya kueleweka, kifupi mpaka sasa sijapata jibu la mahusiano yaliyopo kati ya vijana na uhalifu, nin husababisha haya? Je nikweli vijana wengi hujihusha na ualifu ukilinganisha nawale wafanyao kazi? NI UHUSIANO GANI ULIOPO KATI YA UHALIFU NA VIJANA? Nini kinasababisha haya?