Druggist
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 453
- 561
Nahitaji vijana wenye nguvu na bidii,Kwa Kazi ya Kufyeka Pori /Mwitu Pwani tayari Kwa Kilimo.Kwa Uchache Vijana 10.Dodoma na Kigoma naambiwa ndiyo wapo.Mwenye Taarifa Taarifa tafadhali weka mezani.Watakaa Kambini,wataanza Kusafisha Eneo,kisha kulima na Kupanda.Shamba lipo Wilaya ya Kibiti,Eneo ambalo Kwa Sasa Lina Ulinzi imara wa Vyombo vyote vya Usalama,hivyo wasiogope.
Post sent using JamiiForums mobile app
Post sent using JamiiForums mobile app