Vijana Wa Hovyo. Tukutane Hapa

Vijana Wa Hovyo. Tukutane Hapa

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
878
Reaction score
1,147
Maselaaa eeh eti tukisema ukweli kutoka moyoni demu mmoja anatosha!???

Kama ukijaaliwa kupata watoto mapacha utawaita majina gani??

Wewe kama kijana wa hovyo weka swali lako hapa mavijana tupite nalo
 
Man,demu mmoja anatosha sana,kuwa nao watatu afu wote wakuroge😅,kuna mwamba alilalamika kukuta demu wake kamuibia boxer kaweka kweny mkoba
 
King Sele alikua na wanawake official (900) sasa ukijumlisha na michepuko sijui kama bado utakuja kuuliza hili swali hapa.
 
Man,demu mmoja anatosha sana,kuwa nao watatu afu wote wakuroge,kuna mwamba alilalamika kukuta demu wake kamuibia boxer kaweka kweny mkoba
Kwenye aspect ya kurogwa vijana wa hovyo tunaiclash...hatohofii kurogwa
 
King Sele alikua na wanawake official (900) sasa ukijumlisha na michepuko sijui kama bado utakuja kuuliza hili swali hapa.
Kwamba King Sele nae alikua kijana wa hovyo au
 
kuwa na demu mmoja hapana kwa kweli, je akifa utabaki na nani isitoshe mda wa kutafuta mwingine ni zaidi ya majuma kadhaa
 
Vijanaaaa
255627747112_status_c535b77eba9c4bc4bb06b9b9a07e9ca2.jpg
 
Back
Top Bottom