Umekuwa zezeta akili zimekutoka hadi unaamini unaishi sehemu yenye amani na utulivu!Kwa hiyo ukiandamana unapata nini?
Hong Kong wana shida zao na serikali zao.
Sasa Tanzania tuna shida gani na serikali?
Ya Hong Kong hayafanani na ya Tanzania.
Tanzania tuna amani na utulivu, kikubwa tu ni kufanya kazi
Vitendo sifuri.Tanzania maandamano yao nyuma ya keyboard,jukwaa la siasa huko hadi panachosha.
Kama unadhani amani hamna, mbona huondoki?Umekuwa zezeta akili zimekutoka hadi unaamini unaishi sehemu yenye amani na utulivu!
Inawezekana yanayoongelewa nyuma ya keyboard ni hali tofauti na uhalisia na ndiyo maana watu wkipigwa mikwara kama hiyo hujifikiria na kuogopa.Kauli kama mtapigwa tu
Kipigo cha mbwa koko
Tutawqshughulikia NA MATUKIO KAMA
kifo cha akwilina n.k Ni mambo ambayo yanafanya watanzania wajifikirie Mara mbilimbili kuandamana
Kwa hiyo ukiandamana unapata nini?
Hong Kong wana shida zao na serikali zao.
Sasa Tanzania tuna shida gani na serikali?
Ya Hong Kong hayafanani na ya Tanzania.
Tanzania tuna amani na utulivu, kikubwa tu ni kufanya kazi
Wenzetu hao wapo wakiona jambo hawalielewi wana take action ila sie kama tumeathiriwa na kulalamika tu yani huku kulalamika sio kwamba tunachukizwa bali ni kitu ambacho tunapenda kufanya na ndio maana huoni vitendo.Vitendo sifuri.
Ukumbuke Hong Kong siyo Tanzania. Tanzania wanakupiga risasi au kukuteka kweupee halafu hakuna kesi.Tanzania maandamano yao nyuma ya keyboard,jukwaa la siasa huko hadi panachosha.
Hebu andamana kama haujauliwa? Hong Kong huwezi kuifananisha na Tanzania hata kesho kutwa. Vijana wanaandamana huku polisi wapo pamoja nao wanawalinda. Rudi Afrika andamana kama haujafa na kiongozi wa maandamano lazima atekwe.Wenzetu hao wapo wakiona jambo hawalielewi wana take action ila sie kama tumeathiriwa na kulalamika tu yani huku kulalamika sio kwamba tunachukizwa bali ni kitu ambacho tunapenda kufanya na ndio maana huoni vitendo.
Hata zile za Tetemeko la Kagera walilamba CCM. Yaani pesa za kuwasaidia wahanga wa tetemeko zinawekwa kwenye mfuko wa chama cha CCM. Bongo ni shida sana. Wapigaji wapo kila sehemu.Hapa bongo kila MTU mpigaji anaweza akawambia mchangie pesa ya maandamano
Pesa za M4CA walikula kina John mrema na genge lake
Si wanajua waoga.Ukumbuke Hong Kong siyo Tanzania. Tanzania wanakupiga risasi au kukuteka kweupee halafu hakuna kesi.
Hata zile za Tetemeko la Kagera walilamba CCM. Yaani pesa za kuwasaidia wahanga wa tetemeko zinawekwa kwenye mfuko wa chama cha CCM. Bongo ni shida sana. Wapigaji wapo kila sehemu.