Vijana wa Hii nchi wanavituko mno!

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
3,132
Reaction score
14,347
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.

Aisee leo nikasema imefika wakati sasa niwe na akaunti huko X au zamani kama "Twitter".

Nilipanga nitumie jina langu la UMUGHAKA lakini baada ya kutaipu hilo jina nimekuta mavijana ya ovyo kibao ya hapa JF yameshalitumia hilo jinaπŸ˜‚πŸ˜‚,Daaah hatari sana!.

Nimeamua kutumia @ UMUGHAKA001

Wakuu wa twitter nifuateni huko kwa handle hiyo maana manyang'au yameshafanya yao
 
🀣🀣🀣pole sana
Mkuu halafu hayana hata aibu yanasema "Mimi ndiye Umughaka wa pale Jamii Forums waweza kunifuatilia hapa"


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…