Vijana wa Chadema Mwalikeni Malemo

Vijana wa Chadema Mwalikeni Malemo

ibange

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,543
Reaction score
553
Napendekeza Heche awasiliane na Malemo aje atutembelee na kuhutubia au kuwe na mdahalo kuhusu nafasi ya vijana katika kupambana na ubeberu na unyonyaji na vikwazo vijana wazalendo wanavyo face. Sisi kama vijana twaweza kuchanga peas kufanikisha hili. Naamini Malemo kijana mzalendo na mwenye ushawishi mkubwa atatupa changamoto kubwa. Namaanisha Julius Malema
 
humu sio wote chadema muwe mnapendekeza kwenye vikao vyenu vya ndani
 
Malemo au Julius Malema wa sauzi? Embu elewesha vizuri.
 
Kaka nakuunga mkono kwa asilimia mia moja...HAKUNA KUSHINDWA,HAKUNA KUJISALIMISHA,NA HAKIKA TUTASHINDA.
 
Ni julius malema ..huyo ni kiongozi wa vijana wa ANC ambaye wazee wa chama chake wanamuona kama mtu hatari na adui kwao eti tu kwa kupinga ubeberu,na kupinga watu wachache hasa wazungu kunufaika na rasilimal za south africa na africa kwa ujumla.
 
Mnamfahamu vizuri Julius Malema, au huwa mnamsoma tu kwenye vyombo vya habari? You will be surprised for damn sure.
 
You will be making a big, big mistake ideologically as a Party. Msimamo wa Malema ni wa mrengo wa kushoto sana kwa uelewa wa siasa za kileo. Sio kila muasi kwenye chama fulani ni mzuri au anasimamia haki. Sio kila adui wa adui yako ni rafiki! Malema ana mazuri yake lakini mtindo wake wa kuwakilisha hoja ni wa uropokaji kwenye majukwaa na midahalo.
 
Napendekeza Heche awasiliane na Malemo aje atutembelee na kuhutubia au kuwe na mdahalo kuhusu nafasi ya vijana katika kupambana na ubeberu na unyonyaji na vikwazo vijana wazalendo wanavyo face. Sisi kama vijana twaweza kuchanga peas kufanikisha hili. Naamini Malemo kijana mzalendo na mwenye ushawishi mkubwa atatupa changamoto kubwa. Namaanisha Julius Malema

Nimecheka sana tena niko peke yangu. Mimi nilidhani na Molemo wa JF! Mwishoooni jamaa anasema namaanisha Julius Malema! Yale magazeti pendwa ndio huwa yanapenda habari kama hizi.
 
Nimecheka sana tena niko peke yangu. Mimi nilidhani na Molemo wa JF! Mwishoooni jamaa anasema namaanisha Julius Malema! Yale magazeti pendwa ndio huwa yanapenda habari kama hizi.

Haa hata mie.
 
Mnamfahamu vizuri Julius Malema, au huwa mnamsoma tu kwenye vyombo vya habari? You will be surprised for damn sure.
Nakubaliana huyu jamaa kwa wasiomfahamu wanaweza kufikiri ni wa maana sana . Ni hatari tena ni fisadi mkubwa huko South na huwa anatumiwa kuleta vurugu. Hamaanishi anayoyaongea kwa hiyo ni wa kuepuka sio mfano mzuri kwetu. Don't entertain him. Hata wa South wenyewe wamemstukia. Anawapelekesha walala hoi ambao hawana uelewa na kuwasababishia matatizo makubwa wakati yeye akiendelea kuishi maisha ya anasa Suncity.
 
Mkuu umekosea jina sio Molemo yule jamaa yetu ambaye uwa tunakuwa nae humu JF?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kifupi wanamuita Idiot. Nilikuwa huko kwao hivi karibuni nikawa namfagilia eh mbona nilionekana kituko ndio nikapewa nyeti zake. Kwa hiyo wandugu tusishabikie sana habari za media ni vizuri twende mbali zaidi. CDM tusijiingize kwenye hiyo biashara ya kumualika huyo jamaa tutapoteza credibility yetu ambapo kuirudisha itakuwa kazi kubwa. Kwa wale wanaosema wako tayari kuchangia ujio wa huyu bwana bora watoe hiyo michango kwa makamanda wetu ili wawafikie wananchi wengi. Kazi wanaimudu hawahitaji external support.
 
Napendekeza Heche awasiliane na Malemo aje atutembelee na kuhutubia au kuwe na mdahalo kuhusu nafasi ya vijana katika kupambana na ubeberu na unyonyaji na vikwazo vijana wazalendo wanavyo face. Sisi kama vijana twaweza kuchanga peas kufanikisha hili. Naamini Malemo kijana mzalendo na mwenye ushawishi mkubwa atatupa changamoto kubwa. Namaanisha Julius Malema

Dah mkuu naona humjui vizuri huyo dogo Malema! Jamaa ni bonge la fisadi alipopata madaraka akawa anaishi kama prince magari ya kifahari wanawake na kujirusha sana! Wapinzani wa ANC wakataka kumtumia kuvuruga chama kwa kupewa fungu la maana, chama wakamstukia na kumtimua kwa sasa anahangaika kuomba radhi...choka mbaya DA wanataka kumchukua
 
Back
Top Bottom