Vijana wa CHADEMA Geita watembea kwa mguu hadi Ikulu Dar es Salaam

10805538_1515769258699134_3695812720546594488_n.jpg

Mhe.Tundu Lissu

Kuna vijana watatu kutoka mkoani Geita,
wanakuja kwa mguu kuja kuonana na rais
Kikwete ikulu, ili kueleza kero zao kuhusu nchi
yao, je? watakaribishwa ikulu? au wataitwa
wahuni na wavuta bangi? nakumbuka rais
amewahi kuwakaribisha watu wengi ikulu kama
Ray c, Diamond, mzee yusufu, n.k, ambao ni
waimbaji majukwaani, wala sio watetezi wa
wanyonge, wengine ni wala madawa ya kulevya
tu, mh. Rais wanakuja hao vijana watatu kutoka
Geita nakushauri uwapokee, otherwise
utaonekana una upendeleo kwa kuwakaribisha
watu unaowataka wakati ikulu sio mali yako.
Siasa zishawafanya vijana wa kitanzania ambao ndo nguvu kazi kuwa ni watumwa wa wanasiasa, angalia maskin kama vijana kama hawa wanatia hadi huruma, ujinga wa hali juu
 
10805538_1515769258699134_3695812720546594488_n.jpg

mhe.tundu lissu

kuna vijana watatu kutoka mkoani geita,
wanakuja kwa mguu kuja kuonana na rais
kikwete ikulu, ili kueleza kero zao kuhusu nchi
yao, je? Watakaribishwa ikulu? Au wataitwa
wahuni na wavuta bangi? Nakumbuka rais
amewahi kuwakaribisha watu wengi ikulu kama
ray c, diamond, mzee yusufu, n.k, ambao ni
waimbaji majukwaani, wala sio watetezi wa
wanyonge, wengine ni wala madawa ya kulevya
tu, mh. Rais wanakuja hao vijana watatu kutoka
geita nakushauri uwapokee, otherwise
utaonekana una upendeleo kwa kuwakaribisha
watu unaowataka wakati ikulu sio mali yako.

hawa wanapaswa kupokelewa ufipa na mbowe au ukawa.... Mana ni wafuasi wa chadema wanafadhiliwa na chadema .. Na huwa kuna gari usiku linawabeba sehemu moja kwenda nyingine..alafu wanakuja sema wanatembea kwa mguu nyambafu waongo ninyi... Wanapita njia gani au wanapita usiku?.. Mana wakija ibuka wako mjini .
 
10805538_1515769258699134_3695812720546594488_n.jpg

Mhe.Tundu Lissu

Kuna vijana watatu kutoka mkoani Geita,
wanakuja kwa mguu kuja kuonana na rais
Kikwete ikulu, ili kueleza kero zao kuhusu nchi
yao, je? watakaribishwa ikulu? au wataitwa
wahuni na wavuta bangi? nakumbuka rais
amewahi kuwakaribisha watu wengi ikulu kama
Ray c, Diamond, mzee yusufu, n.k, ambao ni
waimbaji majukwaani, wala sio watetezi wa
wanyonge, wengine ni wala madawa ya kulevya
tu, mh. Rais wanakuja hao vijana watatu kutoka
Geita nakushauri uwapokee, otherwise
utaonekana una upendeleo kwa kuwakaribisha
watu unaowataka wakati ikulu sio mali yako.
Amewahi hata kumpokea kijana aliyetokea huko huko mwanza kwaajili ya kumpongeza rais mwaka 2010 kama sikosei. Sasa asipige chenga kuonana na hao vijana
 
10805538_1515769258699134_3695812720546594488_n.jpg

Mhe.Tundu Lissu

Kuna vijana watatu kutoka mkoani Geita,
wanakuja kwa mguu kuja kuonana na rais
Kikwete ikulu, ili kueleza kero zao kuhusu nchi
yao, je? watakaribishwa ikulu? au wataitwa
wahuni na wavuta bangi? nakumbuka rais
amewahi kuwakaribisha watu wengi ikulu kama
Ray c, Diamond, mzee yusufu, n.k, ambao ni
waimbaji majukwaani, wala sio watetezi wa
wanyonge, wengine ni wala madawa ya kulevya
tu, mh. Rais wanakuja hao vijana watatu kutoka
Geita nakushauri uwapokee, otherwise
utaonekana una upendeleo kwa kuwakaribisha
watu unaowataka wakati ikulu sio mali yako.

Nons,ens,e! hawezi kumpangia bwana mkubwa. Wahuni tu hao timua haraka
 
Walitoa taarifa kabla ya kutoka walikotoka? Hata rais akitaka kuja kwangu lazima atoe taarifa, sembuse mimi kwenda kwake!! Siasa zisitufanye ukiukwaji wa sheria na taratibu. Utaondokaje ulikotokabila ya kumjulisha mwenyeji wako wa kukupokea!
 
Hao vijana bange zinawasumbua , watakuwa red brigade wamebeba mabomu. Wakisogea tu karibu na geti la ikulu walipuliwe.
haa haa, ikulu ni kwa ajili ya wote mkuu. Sio ya ccm, cuf wala chadema. Ukishakuwa ikulu wewe ni wa watanzania wote bila kujali itikadi zao.
 
Hao vijana wa CHADEMA wana njaa....kwa mawazo yangu wangeenda makao makuu ya CHADEMA huko ndiko wanaweza kusikilizwa..Wamebeba bendera ya chama..
mkuu kwa ninavyojua, hao vijana kwanza wakifika dar watapokelewa makao makuu ya cdm pale mtaa wa ufipa, halafu watapelekwa na mh. Mbowe ikulu kumuona mh. Rais. Kama sijakosea ni hivo.
 
Watupie amba zao za mpesa,airtel money tuwarushie pesa za kujikimu njiani.wanawakilisha watanzania wengi ambao wanateseka na lindi la umaskini ndani ya nchi yao nzuri yenye kila aina ya rasilimali zilizoshindwa kutumiwa vyema kutokana serikali iliyowatelekeza
mkuu ni wazo zuri.
 
Sasa hivi tutasikia kuondoka kwenda china kuchukua phd (pure head damage) nyingine baada ya kuambiwa huu uzi na wasaidizi wake
 
hawa wanapaswa kupokelewa ufipa na mbowe au ukawa.... Mana ni wafuasi wa chadema wanafadhiliwa na chadema .. Na huwa kuna gari usiku linawabeba sehemu moja kwenda nyingine..alafu wanakuja sema wanatembea kwa mguu nyambafu waongo ninyi... Wanapita njia gani au wanapita usiku?.. Mana wakija ibuka wako mjini .
kwani yule kijana wa ccm aliyetembea toka shinyanga kwa baiskeli ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom