Nikikumbuka jinsi kile kiungo cha binadamu kilivyokuja kubatizwa jina sababu ya tangazo la 'tigo' nahofia na kauli mbiu 'mbili zatosha' iliyoandikwa mgongoni isije ikaleta tafsiri tofauti!!
Mkuu nasema hivi hatta mzee majutto kwenye muve yake alinena hivi kuishi na watu kazi kubwa hawa hawa ndio wa kwanza kwenda kwenye makorido kusikitika na maisha magumu na vitu vinapanda bei kila siku mara kanchi kameuzwa na luku bei juu na kamshahara hakipandi kiko hapo hapo na huku hunena sisi walala hoi tunateketea lakini wakubwa na watoto wao ni mambo yao ni safi sanaaaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.