Vijana wa CCM wafanya fujo na kuteka Magari Madiwani Majiyachai,CDM wawasambaratisha

BAVICHA na wanachama wote wa CHADEMA mlioko huko Arumeru Mashariki, sote huku tunajivunia kazi mnayoifanya. Joto la siasa sasa ipande hadi nyuzi joto 80 kwa kufuata ule ule ustaarabu wetu uliotukuka ila mambo ya fujo kamwachieni Mwigullu Nchemba na wahuni wenzake.

Safari hii huo uhuni huenda ukakigharimu zaidi CCM wasipoangalia sana. Ni tahadhari tu tunavyoanza kushuhudia vya Igunga vikijirudia kaskazini.
 
SILAHA HII YA MKOSAJI KWA CCM KUTUMIA VURUGU, UKATILI TUWATISHA WAPIGA KURA NA HATA MAUAJI KWENYE CHAGUZI NI KWAMBA WANATEKELEZA SERA YA WAPI???

Kwa mtaji wa hii silaha ya mkosaji ya CCM kutumia vurugu na utekaji tena kule Arumeru Mashariki bila ya kusikia sauti za Msajili wa vyama wala mwenyekiti wa tume ya uchaguzi taifa.

Safari hii mambo ya Igunga yakiruhusiwa kujirudia tena Tanzania hii basi wanaharakati huenda wakalazimika kukutana na Lubuva, Tendwa pamoja na mzee Mukama mahakamani ili tabia hii mpya kwa wana-CCM ipate dawa yake ya kudumu huko.

Huko nyuma tulipata kusikia eti NEC CCM ilizungumzia jambo hili na kudai kwamba hawataki kuliona likijirudia ndani ya mipaka yetu kumbe yote ni bure kabisa wala hamna kitu pale!!!!

Wana-Arumeru sote tukatae chama cha fujo na UFISADI CCM kwa kauli moja kutokana na hivi vioja walivyoanza navyo bila kukemewa na chombo chochote nchini. Wanaharakati safari hii kukitokea ya Igunga hapa wananchi hatutokua na furaha.

CCM imeanza kufanya vurugu na uharamia wa kiwango cha juu Arumeru.

Leo majira ya saa tatu asubuhi viongozi wa ccm wakiongozwa na Kingazi ambaye ni katibu wa ccm wa wilaya ya Moshi na akiambatana na Ndekubali, wamemteka mwenyekiti wa CHADEMA tawi la Magadrisho kata ya Usa river. Utekaji huo ulifanyika wakiwa na gari aina ya pick up Ford namba DFP 5481. Baada ya kumteka wakampeleka kwenye kambi kumshushia kichapo, kwa sasa mwenyekiti huyo aliokolewa na Polisi,na amepewa PF3.

Polisi pia wamemshikila Mh Msigwa mbunge wa CHADEMA kwa tuhuma za kuhusika na vurugu za jana zilizotokea jana eneo la maji ya Chai, baada ya vijana wa green guard kuwavamia CHADEMA kwenye gest waliyofikia. Katika tukio hilo gari la CCM lilivunjwa vioo vya nyuma.
 
hiyo ni trela tu picha inakuja hawa magamba kitaeleweka tu na kesho vijana wa dar wanaanza kuondoka kwenda kuongeza nguvu lengo ushindi upatikane kwa njia yoyote.

Mungu akiwa upande wetu nani atatushinda?? Hatuogopi nguvu za Polisi wala wanajeshi wote ni mawakala wa ushetani, ukombozi wa Tanzania unaanzia Arumeru. CCM tambueni Mungu yuko upande wa wanyonge wenye haki, sahauri zenu
 
Wanayo yahubiri sisiemu katika majukwaa kuwa ni chama cha amani na utulivu na eti wapinzani ndio waanzisha vurugu leo imekuwaje tena. R.i. P ccm kweli kuishabikia sisiemu inabidi uwe na akili za maiti.
Tunafahamu mnadola na kila kitu, ila sisi tuna mungu, muda wa mabadiliko ukifika umefika tu..... R.i p ccm

Kama utaamini kwamba CCM ni chama cha AMANI then you will believe ANYTHING in this world. Anayekuhubiria CHAMA cha AMANI KIUNONI ANA PISTOL then bado unamuani? You must be crazy to believe that hypocrisy
 
SILAHA HII YA MKOSAJI KWA CCM KUTUMIA VURUGU, UKATILI TUWATISHA WAPIGA KURA NA HATA MAUAJI KWENYE CHAGUZI NI KWAMBA WANATEKELEZA SERA YA WAPI???

Mpaka hivi sasa tunapoendelea kusikia vimbwanga vya CCM na siasa za uzushi (Mkapa), fujo (Bashe na Mwigulu) na pengine kuja kutokea mauaji kama ilivyotokea kule Igunga, wananchi sasa tunahoji kwamba haya yote ni kwa faida gani kwa taifa na kwa nini tukayanyamazie mpaka machafuko yaje yatokee ndio vyombo husika vije vianze kukurupuka kama vijana wa kikosi cha zimamoto?

Kwa mtaji wa hii silaha ya mkosaji ya CCM kutumia vurugu na utekaji tena kule Arumeru Mashariki bila ya kusikia sauti za Msajili wa vyama wala mwenyekiti wa tume ya uchaguzi taifa safari hii tunahoji kwamba kulikoni au ndio njia sahihi ambayo vyama vyote vinatakiwa kufuata?.

Endapo jibu hapo juu ni ndio basi tunasema safari hii mambo ya Igunga yakiruhusiwa kujirudia tena Tanzania hii basi wanaharakati huenda wakalazimika kukutana na Lubuva, Tendwa pamoja na mzee Mukama mahakamani ili tabia hii mpya kwa wana-CCM ipate dawa yake ya kudumu huko.

Back
Top Bottom