Vijana wa CCM akili zao duni

Vijana wa CCM akili zao ni duni sana. Yaani wanafikiria tatizo la Tanzania ni upinzani na wanaharakati kumbe tatizo ni familia chache za kifisadi. Nyie wajinga jinga jiulizeni mnajua kuliko Dr Nchimbi au Polepole kwanini hatuko nao leo???
Nchimbi na Polepole wanajua kuliko Mwinyi,majaliwa,mpango,karume nk mbona tuko nao.
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

Tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Vijana wa CCM akili zao ni duni sana. Yaani wanafikiria tatizo la Tanzania ni upinzani na wanaharakati kumbe tatizo ni familia chache za kifisadi. Nyie wajinga jinga jiulizeni mnajua kuliko Dr Nchimbi au Polepole kwanini hatuko nao leo???
 

Attachments

  • Screenshot_20261018_145244_Instagram.jpg
    81.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20261018_150646_Instagram.jpg
    183.9 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…