Vijana vyuo vikuu waikana UKAWA hadharani

Vijana vyuo vikuu waikana UKAWA hadharani

makoko jumanne

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
584
Reaction score
164
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na ukawa kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote,baadhi yao toka Udsm,ifm,saut,tumaini na Udom wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki,je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi
Sisi vijana hatuwezi kudanganywa na mzee huyu asiye na dira wala mwelekeo. Magufuli hoyee.
 
Nyie CCM endeleeni na huu uzushi wenu na porojo ILA WATANZANIA TUTAMPIGIA KURA LOWASSA KESHOKUTWA. hatudanganyiki tenaaa....!!!
 
Sisi vijana hatuwezi kudanganywa na mzee huyu asiye na dira wala mwelekeo. Magufuli hoyee.
Acha kupotosha watu wewe ! Wanafunzi wote wanajua na wamechoshwa na balaa la ccm kwa upande wao .
 
We mtoa mada kwa nini tume izuie hao wanafunzi kupiga kura hebu acha kujitoa akili.
 
Eti wanafunzi wa vyuo vikuu.. nyooo. labda kama chuo kikuu unasoma mwenyewe. lakini kama chuo kikuu ni taasisi,basi usijifanye kuwa msemaji wa wanachuo.Mimi nimechoshwa na ukandamizwaji unaofanywa na utawala wa ccm.Hiyo siyo siri,tuache ushabiki usio na msingi. Anayeshabikia labda kaahidiwa ujumbe wa mtaa!
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.

Vijana wameamuka mwaka huu, acheni ccm kujitekenya na kucheka wenyewe.
Hali yenu ni mbaya mno. Vijana wote wanao jitambua wapo ukawa sababu ndo habari ya mjini.
 
Mimi ni moja wao toka udsm tumewakataaaaa mbali na kutuambia etiiiiiiiiii watutumie nauli tuje kuwapigia kura cc tumewakataaa
 
Siku hizi machangudoa wameanza style ya kujiita wanachuo ili wapandishe bei...

We acha tu yani hizi thread za watoto Wa CCM zinakera, yani akijisikia kutunga wanakuja kuanzisha topic,.
 
Mtoa post umeshiriki km mwanachuo au? Na upo chuo gan?? Usitudharirishe bn
 
Unajua nashindwa hata niandike nn maana kwakwel tutabaki kujenga hoja na wapuuzi jambo ambalo litatushushia heshima. Eti wanachuo hivi ww mleta mada unadhani wanachuo mambumbumbu kama ww?
 
Umeongea na vijana wawili alafu unasema kuwa ni msimamo wa vijana wote. Pole. Manyanyaso ya bodi ya mikopo na mabomu tuliyopigwa tukidai fedha yetu ya halali hatujasahau! Mabadiliko ni lazima! CCM itoke Lowasa aingie!
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.
Wamkatae mara ngapi mtu kigeugeu huyu kwani amewadanganya kuwa elimu bure hadi chuo kikuu halafu anasema ataboresha mikopo ya vyuo vikuu.
 
Baadhi ya viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamekataa kutumiwa na UKAWA kwa maslahi yao kwa kuwa wamesema hawaoni faida yoyote.

Baadhi yao toka UDSM, IFM, SAUT, TUMAINI na UDOM wametoa kauli hizo wakati wa mkutano wa ndani ambao hata hivyo mtoa post alishiriki.

Je hii ni ishara kwa wanafunzi wamemkataa mamvi.

udsm uctuzungumzie ww mseng
 
Back
Top Bottom