Vijana tusing'ang'anie Dar

Mkoanii labda uwende kwa plan maalum ila usipo enda kwa plan maalum utaganda kama mimi nilivyo ganda nipo mbeya now kwa ba mdog nimekuja kumsalimia lakinii sina inshu yoyote fursa zimekuwa ngumu kinom?
 
Maisha ni mipango ya mtu binafsi, anaetobolea shamba haimanishi na kwa mwingine hivohivo
 
Wanafurahia wakienda Mkoa msibani kuambiwa WATU WA DAR INGIENI HUMO MLE CHAKULA basi yanafurahii

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Maisha ni mipango ya mtu binafsi, anaetobolea shamba haimanishi na kwa mwingine hivohivo
ni katika kuzinduana tu na kuhamasishana kuchangamkia fursa zilizopo kujikwamua kimaisha...
 
Kweli mkuu Vijana wengi wa dar wanamaisha magumu mno, kuna kipindi nilienda kigogo dampo nilishangaa Vijana Wenye nguvu wakiokota Chakula majalalani na kula. Niliumia sanaa.

Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…