Mimi nimezaliwa Dar na kukulia DSM maisha yangu yapo hapa japo kuna muda niliwahi kutoka nje ya mkoa ila mpaka sasa hakuna mkoa unaosegelea DSM kwa fursa. Pia ukiishi DSM una asilimia zaidi ya 70 kufaulu tofauti na mikoani ambapo ili angalau uingize elfu 10 tu kwa siku utamenyeka vibaya sana. Ukishindwa kufanikiwa DSM basi jua mikoani ni unaenda kucheza bahati nasibu labda uwe umezaliwa huko.Sehemu kubwa ya mada yako umeishia kuponda Dar badala ya kueleza hizo fursa unasema vijana wanavuna mahindi!
Na kweli Kabisa...na mpaka uote 🤣😜Nitakuja. Kulima mpunga huko.😂😂
Sasa kuna vijiji hata hicho chumba tu cha kupanga hupati! Bei za vitu vidogoo kama viberiti/chumvi zipo juu! Huduma muhimu za jamii hakuna! Vyakula hakuna, vikiwepo ni aina moja tu mnagombania kijiji kizima! Ulevi wa pombe ni vijana wote kijiji kizima tena mnalewa na kuongea kilugha kabisa! Hiyo tv ya 32' na sabufa ya sundar unaikuta kwa mwenyekiti wa kijiji au mwalimu mkuu tu, yaani hao ndio madon wa kijiji. Huduma zinatolewa kwa kujuana.. Hapana tutang'ang'ana mjini mwanzo mwisho!Ila ki ukweli watu wa dar wanaponda mda tu sasa mtu unakuta anakimbiza miaka 40 anakaa chumba kimoja na ka tv nchi 32 na subwoofa basi anajionaa katoboaaaabank hana hata mia tigo pesa ama mpesa ana buku 20000.Jamani twendeni vijijini kuna vijana wamepambana na wako njema sana.
Upo uyole na hatuonani 😃😃Uyole msosi kede
Vijana wote vijijini wamepambana na wametoboa? Hawahawa ambao tukishuka stendi kuwasalimia wazazi na bibi zetu wanaitana na kupigiana simu kujulishana.Ila ki ukweli watu wa dar wanaponda mda tu sasa mtu unakuta anakimbiza miaka 40 anakaa chumba kimoja na ka tv nchi 32 na subwoofa basi anajionaa katoboaaaabank hana hata mia tigo pesa ama mpesa ana buku 20000.Jamani twendeni vijijini kuna vijana wamepambana na wako njema sana.
🤣🤣🤣 ndiyo ivoUpo uyole na hatuonani 😃😃
😂 utanitaftia wajinga basi🤣🤣🤣Kabisa Kabisa
Kuweni serious wakuu, Dsm na changamoto zake huwezi kulinganisha na sehemu nyingi za mikoaniKwa Mtu Ambaye Amekaa Dar Es Salaam Pekee Hawezi Kuelewa.
Ila Kama Unatoka Na Kurudi Dar Es Salaam Kuna Time Unaona Kabisa Dar Es Salaam Si Mji Wa Kuishi.
Watu Wanaoishi Nje Ya Mji Huu Kiukweli Ndio Wanaishi.
Mikoani kule kwenye vibanda vya nyasi kibao?Maisha ya Watu wa Dar ajabu wa Mikoani ndo wanaumia, kila siku nyuzi za Dar hivi, Dar vile, sema mnatamani kuja Dar ila pa kufikia ndio hamna, pyeeeeeeeeee!
Vijijini kaeni wenye interest za kulimakaribu tarime tulime mazao ya kila aina tena misimu miwili kwa mwaka
🤣🤣🤣utawakuta hukohuko😂 utanitaftia wajinga basi
Wa mikoani je🤣🤣🤣utawakuta hukohuko
Mkuu unaishi Mpanda?Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.
unaona aibu kurudi kijijini na mvi, kipara na stress za ajira na maisha kama zote, umri umeenda huku huna mke, huna mtoto wala kaploti 🐒Mnadhani watu hatujawahi kuishi huko vijijini?
Acheni uongo hakuna hayo maekalu mnayoyasema, hao hao wa vijijini ndio wanaoongoza kukimbilia Dsm.
Hao watu wa kijijini ndio Kila siku wanatupiga virungu wakiaminj huku tumetoboa
Mafanikio ya vijana wachache usifanye yawe ya vijiji vyote
Hata huku Dsm Kuna vijana Wana maisha mazuri
Kwa sababu mtaalamu upo hakutakuwa na shaka. 😂😂 Usikute huna hata robo heka na uko jijini hapa tunasaidia kuoikea joto😂Na kweli Kabisa...na mpaka uote 🤣😜
🤣🤣🤣🤣 tulia wewee!🤒Kwa sababu mtaalamu upo hakutakuwa na shaka. 😂😂 Usikute huna hata robo heka na uko jijini hapa tunasaidia kuoikea joto😂