Vijana tusing'ang'anie Dar

Sehemu kubwa ya mada yako umeishia kuponda Dar badala ya kueleza hizo fursa unasema vijana wanavuna mahindi!
 
Ila ki ukweli watu wa dar wanaponda mda tu sasa mtu unakuta anakimbiza miaka 40 anakaa chumba kimoja na ka tv nchi 32 na subwoofa basi anajionaa katoboaaaa
bank hana hata mia tigo pesa ama mpesa ana buku 20000.Jamani twendeni vijijini kuna vijana wamepambana na wako njema sana.
 
Mavuno ya mpunga yatakuwa kuanzia lini kwa msimu huu 2024/2025?
 
Sehemu kubwa ya mada yako umeishia kuponda Dar badala ya kueleza hizo fursa unasema vijana wanavuna mahindi!
Cha kushangaza ulienda huko alikosema vijana Wana maisha magumu sana. Naenda off season ndio utajua vijana wanaishije huko
 
 
Binadamu hatufanani

Mtu mwingine akija mkoani anaona hakuna fursa, hakuna vibe, kumepoa, baridi, nk

Wewe ishi unapopaweza.

Mimi nilikuwa nasema Dsm siwezi kuishi Kwa sababu ya kero ya usafiri na joto


Nikapata ajira Dsm, Kwa sasa sitamani kurudi mkoani.
 
Mnadhani watu hatujawahi kuishi huko vijijini?

Acheni uongo hakuna hayo maekalu mnayoyasema, hao hao wa vijijini ndio wanaoongoza kukimbilia Dsm.

Hao watu wa kijijini ndio Kila siku wanatupiga virungu wakiaminj huku tumetoboa

Mafanikio ya vijana wachache usifanye yawe ya vijiji vyote


Hata huku Dsm Kuna vijana Wana maisha mazuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…