Vijana tupunguze mapenzi tutafute hela

Vijana tupunguze mapenzi tutafute hela

Mimi ni mmojawapo ambaye yamewahi kunikuta
Nilimpendaga dem mpaka kuna mda kila mda nlitaman kumpa zawadi....!!

Life lilibadilika baada ya mtoto kunibadilikia kisa kikiwa No ajira...!!na ndo kwaanza nimemaliza chuo

Nikasema poa....nikatumia break up kama reason kupigana kufa na kupona....

Nikapiga ishu ya udalali wa simu plus vyumba na nyumba nikapata pesa...!!

Kuna frem ya familia walianzshaga duka likafilisika...

Nikafungua....nkaweka vocha za kurusha na bidhaa kidg....

Sasa ni almost miezi mi5...mambo ynaenda fresh....nmeongeza huduma kibao...kwa Sikh sikosi mpk elfu 70

Hela nnazipata...na xna wazo LA ajira....nnataka nikfanikiwa zaidi niongeze bidhaa zngne...!!

Now nnasajili na lainis mitandao yote mpk Ttcl na nnasubiri kesho mishahara kwenye cm ianze kuingia kutoka mitandao ya cm(kamisheni za usajili)

Ushauri:kama kijana unataka kfanikiwa...weka mapenzi pemben...piga kazi....ukitanguliza mapenzi mbele kwenye kutafuta...!!utakuwa maskini mileleView attachment 852612View attachment 852613View attachment 852614

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisei..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana...tofauti ni kuwa nnauza vocha za kurusha na si za kukwangua...!!faida ni 8%...!!kwa siku nafiksha mpk vocha za elfu 40!!...coz mtaani kote nnayeuz vocha n mimi tyu!!...

Hua nachanganya na hesabu za dukani....!!kwa kila elfu 10 kuna 800 so hua hainiumizi kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa utenganishe ili ukifunga hesabu mauzo ya vitu vingine unajua umeuza ngapi na faida yake ni hii! Pia na vocha vivyohivyo,
Unaweza kuuza laki 1 ukaona umeuza sana kumbe vocha umeuza zaidi hapo faida inakua ndogo kiujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tunatofautiana ...altitude na mindset katika pesa ....bila shaka 70k unaiona ndogo but kwa msoto aliopitia mtoa mada ni pesa kubwa ....

Sent using Jamii Forums mobile app
No mkuu sina nia mbaya ila nilitaka kujua2 ila kaishasema asilimia 10 ndio faida yake so nijambo jema maana mpaka hapo ameweza kujitengenezea faida sio chini yalaki 2 kwamwezi so mwanzo wake nimzuri sana namungu atamsaidia

Huo ndo uanaume mkuu ...daima tunapeana moyo na sio kukatishana tamaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa utenganishe ili ukifunga hesabu mauzo ya vitu vingine unajua umeuza ngapi na faida yake ni hii! Pia na vocha vivyohivyo,
Unaweza kuuza laki 1 ukaona umeuza sana kumbe vocha umeuza zaidi hapo faida inakua ndogo kiujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nnsema kuwa vocha kwa siku naweka 40...!!then nakaa znaanza hesabu!!...ila kuna mkakati kama huo unaousemea natarajia kuuanza....tuombe uzima kuna kitu nakfanya keshokutwa....then baada ya hapo ndo michakato kamili inaanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mbaya kwa hapo ulipoanzia kama unauza 70 kwa biashara ya duka faida utakuwa unapata 8000 endelea kuongeza vipato sehemu nyingine pole pia kwa kuachwa
 
Trust kama una vision za kujenga maisha ya maana mbele nyapu ni kitu kidogo sana hutokiihitaji. Tatzo n vijana wengi wamehamia kuwekeza kwenye mapenzi na bahat mbaya hakuna aliyetajirika kwa mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom