Vijana tupunguze mapenzi tutafute hela

Vijana tupunguze mapenzi tutafute hela

U remind of me baada ya kumaliza chuo nikarudi kitaa sina hata mia. Dem akanipiga chini. Nika fight na ufundi mpaka nikaja pata ajira baadae lakin tayari nikiwa nimeshajitegemea.




Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nnachotak nihamie kwenye biashara....nmeahagundua wapi akili yngu inafaa!!..taaluma yangu ni teacher!... Ila nna uhakika ctalast long huko!!...cpendagi kupelekeshwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mmojawapo ambaye yamewahi kunikuta
Nilimpendaga dem mpaka kuna mda kila mda nlitaman kumpa zawadi....!!

Life lilibadilika baada ya mtoto kunibadilikia kisa kikiwa No ajira...!!na ndo kwaanza nimemaliza chuo

Nikasema poa....nikatumia break up kama reason kupigana kufa na kupona....

Nikapiga ishu ya udalali wa simu plus vyumba na nyumba nikapata pesa...!!

Kuna frem ya familia walianzshaga duka likafilisika...

Nikafungua....nkaweka vocha za kurusha na bidhaa kidg....

Sasa ni almost miezi mi5...mambo ynaenda fresh....nmeongeza huduma kibao...kwa Sikh sikosi mpk elfu 70

Hela nnazipata...na xna wazo LA ajira....nnataka nikfanikiwa zaidi niongeze bidhaa zngne...!!

Now nnasajili na lainis mitandao yote mpk Ttcl na nnasubiri kesho mishahara kwenye cm ianze kuingia kutoka mitandao ya cm(kamisheni za usajili)

Ushauri:kama kijana unataka kfanikiwa...weka mapenzi pemben...piga kazi....ukitanguliza mapenzi mbele kwenye kutafuta...!!utakuwa maskini mileleView attachment 852612View attachment 852613View attachment 852614

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi hayaachwi labda uondoe nyeti au uwe chaputa maana hata ukikosa mpunga kama unaulimi wenye ulimbo utawapata tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu ulichofanya sio sawa kuweka number za usajili watu wakitaka kukushitaki sio tu utapoteza kazi hiyo ila sheria za mawasiliano zinaweza kwenda kinyume chako na kinyume cha kampuni ambayo wewe ni wakala. Soma agency contract ni makosa kujinufaisha kwa taarifa ambazo unazipata kutokana na wewe kutoa huduma. Hapa umetumia madaraka yako vibaya futa haraka


QUOTE="Evelyn Salt, post: 28183358, member: 65641"]Delete sio sawa[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom