BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,246
Mimi ni mmojawapo ambaye yamewahi kunikuta
Nilimpendaga dem mpaka kuna mda kila mda nlitaman kumpa zawadi....!!
Life lilibadilika baada ya mtoto kunibadilikia kisa kikiwa No ajira...!!na ndo kwaanza nimemaliza chuo
Nikasema poa....nikatumia break up kama reason kupigana kufa na kupona....
Nikapiga ishu ya udalali wa simu plus vyumba na nyumba nikapata pesa...!!
Kuna frem ya familia walianzshaga duka likafilisika...
Nikafungua....nkaweka vocha za kurusha na bidhaa kidg....
Sasa ni almost miezi mi5...mambo ynaenda fresh....nmeongeza huduma kibao...kwa Sikh sikosi mpk elfu 70
Hela nnazipata...na xna wazo LA ajira....nnataka nikfanikiwa zaidi niongeze bidhaa zngne...!!
Now nnasajili na lainis mitandao yote mpk Ttcl na nnasubiri kesho mishahara kwenye cm ianze kuingia kutoka mitandao ya cm(kamisheni za usajili)
Ushauri:kama kijana unataka kfanikiwa...weka mapenzi pemben...piga kazi....ukitanguliza mapenzi mbele kwenye kutafuta...!!utakuwa maskini mileleView attachment 852612
Sent using Jamii Forums mobile app