BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,246
- Thread starter
- #41
Nimekuelewa mkuu!!...kinachoniuma n kwenye mada serious unaleta utaniKea bahati mbaya umeshindwa kuelewa nilichomaanisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu!!...kinachoniuma n kwenye mada serious unaleta utaniKea bahati mbaya umeshindwa kuelewa nilichomaanisha
Almost kwa siku nkiamua kchukua faida tyu hua ni zaidi ya hapo!!...coz nna huduma ya kutoa pesa....vocha....kusajili laini....!!hayo ni makadirio yangu kuwa ntachukua 10% ili walau faida nyngne ibaki kwa ajili ya kuendeleza biashara zaidi
Bado hujanielewa mkuu... hamna utani hapoNimekuelewa mkuu!!...kinachoniuma n kwenye mada serious unaleta utani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huduma zipo nyingi....pia kuna kurudsha namba zlizopotea ambpo kila laini inayorudishwa kuna buku 2....plus kuchajisha simu...!!kuna watu pia wanaleta biashara niwauzie ambao nao pia wanalipa 10% ya kile walichokileta
Hapo sawa nilijua ukipiga hesabu unapata faida 10% kwa mauzo ya hy 70, faida yake sio chini ya 15%Almost kwa siku nkiamua kchukua faida tyu hua ni zaidi ya hapo!!...coz nna huduma ya kutoa pesa....vocha....kusajili laini....!!hayo ni makadirio yangu kuwa ntachukua 10% ili walau faida nyngne ibaki kwa ajili ya kuendeleza biashara zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni faida niloamua kujiwekea mwenyew kwa kila kinachopatikana....!!Hapo sawa nilijua ukipiga hesabu unapata faida 10% kwa mauzo ya hy 70, faida yake sio chini ya 15%
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila km unauza vocha usichanganye kwenye biashara ya dukan itakuharibia hesabu, tenganisha iwe inajitegemeaHuduma zipo nyingi....pia kuna kurudsha namba zlizopotea ambpo kila laini inayorudishwa kuna buku 2....plus kuchajisha simu...!!kuna watu pia wanaleta biashara niwauzie ambao nao pia wanalipa 10% ya kile walichokileta
So faida kwangu kiukweli ni zaidi ya hyo 10%...ila just nnachotaka niwekeze hela nyng zaidi kwenye hyo biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunatofautiana ...altitude na mindset katika pesa ....bila shaka 70k unaiona ndogo but kwa msoto aliopitia mtoa mada ni pesa kubwa ....
Mhhh!!...Mnataka nifunge duka nikimbie nyie!!...juzi walipita watu wa taka....wasipokuta kuna dustbin fain 10K....uzuri nlshanunuaga....nilipona peke yngu70,000/- kwa siku inabidi uwe na EFD. Tunakuja kuhakikisha kama ipo.
VizuriHiyo ni faida niloamua kujiwekea mwenyew kwa kila kinachopatikana....!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yngu sikia tyu...!!just nmeztumia hzo hasira kutafta hela kwa nguvu zote...!!Kijana umeandika kwa hisia Kali bila shaka una hasira na huyo demu .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana...tofauti ni kuwa nnauza vocha za kurusha na si za kukwangua...!!faida ni 8%...!!kwa siku nafiksha mpk vocha za elfu 40!!...coz mtaani kote nnayeuz vocha n mimi tyu!!...Ila km unauza vocha usichanganye kwenye biashara ya dukan itakuharibia hesabu, tenganisha iwe inajitegemea
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja ndugu....tunaelekezana tyu bossBado hujanielewa mkuu... hamna utani hapo
Safi sana ...ukifikia malengo yako usimsahau Hugo demu mkuu.......Ndugu yngu sikia tyu...!!just nmeztumia hzo hasira kutafta hela kwa nguvu zote...!!
Sent using Jamii Forums mobile app