Vijana tupambane, soma hii

Kama anatapeli na bado vyombo husika vyakudili na matapeli havimchukulii hatua basi nampongeza.
Kutokuchukuliwa hatua hakuhalalishi anayofanya NI sahihi.
Kama hauamini ingia kwenye anga zake.hata wenzio walikuwa wabishi.ila vipigo vimewazindua
 
Kijana ukiwa na uwezo mzuri wa kufanya vitu kwa namna yoyote ile, pambana kisha ukishatusua rudi kwa hawa vijana wengine wavivu wa kufikiria na kufanya wape hamasa kisha wakupe hela. Tena wachaji pesa kubwa zaidi akili ziwakae Sawa mpaka watakaposhtuka.


Vijana wa hili taifa ni wajinga sana... Mtu anashinda kufanya betting then anakuja kuandika Sirjeff mwizi...

Huyu jamaa sijuani naye ila ukweli ni kwamba the guy is a real Hustler na siyo mshikiwa akili na wanasiasa kama vijana wengi walivyo.


Kijana unayejielewa tumia kundi lisilojielewa wakiunue zaidi.


Fursa zipo ndugu zangu great thinkers.


Hawa vijana muda wa kufuatilia mambo ya msingi hawana, wao ngono, michezo ya bahati nasibu na kuigiza maisha ndiyo kipao mbele huku wakitamani utajiri wa haraka.


Ngoja tuendelee kusuka mitego, nyie endeleeni kuilaumu serikali na kutukana waliotoboa kabla yenu mkiamini ni matapeli ilihali uvivu wa kufikiri ndiyo tatizo mpaka ukaibiwa.
 
Heshima ipi ya kutapeli watu?
anawasaidia au anawatumia Kama daraja lake la kupita kwenye mafanikio?
Mzee ngoja watu watafte hela either kwa njia legal au illegal
20220722_165249.jpg
 
Kutokuchukuliwa hatua hakuhalalishi anayofanya NI sahihi.
Kama hauamini ingia kwenye anga zake.hata wenzio walikuwa wabishi.ila vipigo vimewazindua
Kwani mkuu tumeoana matapeli wangapi wakidakwa na serikali?. Narudia kukueleza kufanya kazi ya utapeli sio rahisi kama unadhani nirahisi jaribu wewe . Lakini mama kaweza kuwatapeli watu kuanzia 2017 mpaka Leo hii nabado hakamatwi na mamlaka basi nampongeza.
 
Miongoni mwa vijana makini ni huyu Ontario sema jamaa ni geneous then mjanja kingine anajua wanaomzunguk wengi ni washamba haijalishi so anatumia chance vizuri pia kajisacrifice mitandao he got attacked so much by unconscious people vile hajali anapiga kazi

Ukweli kabisa kibongo bongo kupata vijana kama Hao ni vigumu sana niamini jamaa ana lifestyle fulani unique wivu na ushamba ndo mnaanza kumshambulia

Ishu zote alizopiga watu ni halali kwa vile wajinga
 
Back
Top Bottom