Vijana tuna akili zetu tunataka mabadilikooo

Vijana tuna akili zetu tunataka mabadilikooo

gps boy

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2015
Posts
447
Reaction score
65
CCM mmechelewa Vijana tuna AKILI ZETU tumeamua kwa DHATI KUMPIGIA LOWASSA KURA ZETU CCM mtapigiwa Na BABU ZETU kwani Hats BABA Na MAMA ZETU SIE VIJANA wanataka MABADILIKO
 
hatudanganyiki.,
eti leo after 8 years ndio anatoa ufafanuzi wa nani mhusika wa richmond., kwamba ulikuwa unamuogopa au?
 
Nina imani hata pale kwenye mktano wao kura zao zi za wale waliokuwa wamevaa kijani na njano tu wengine wameenda kwenye fiesta tu na kulala ni kwa Lowassa!
 
Mwisho wa kufuga majizi ya mali asili zetu umefika, mwisho wa wauza unga, mwisho wa majangili na wote alio na majina yao na namba za nyumba zao umefika. Tunamwomba ayaache majina ofisini ili LOWASA awashughulikie. Tunataka mabadiliko sio ngonjera za Richmond ya miaka 8 ilopita unayaacha ya Escrow ya juzi.
 
Kikwete umechelewa sana kutoa taarifa hizi kura yangu nilishamuuzia Lowasa.
 
Hiviii ametoa ufafanuzi au ame bwabwaja tu? Khaaa!
 
Kati ya wapiga kura million 22 waliojiandikisha, million 12 ni vijana.
Huu ni wakati wa mabadiliko.
 
Back
Top Bottom