Kama kweli tunaangalia taaluma, Heche angetakiwa awe anafundisha shule ya msingi songambele iliyopo mara, ona kakimbia taaluma yake ya uwalimu. Bora hata angekuwa ana uwezo kwenye siasa huku ndio anapaharibu

bwn milango sita unaniacha hoi sana. next thread utasema uko kigoma mjini. jana ulikuwa landmark. mkuu unatumia ungo au? cdm ni an institution na wala si dr slaa, mhe mbowe wala prof safari. atakaeenenda tofauti na katiba lzm awajibishwe regardless of his position in the party. acha kuwa ndomu.
Naona uko shift leo.
Kila mwenye Akili hapa JF anakupuuza.
Kama kweli tunaangalia taaluma, Heche angetakiwa awe anafundisha shule ya msingi songambele iliyopo mara, ona kakimbia taaluma yake ya uwalimu. Bora hata angekuwa ana uwezo kwenye siasa huku ndio anapaharibu
bwn milango sita unaniacha hoi sana. next thread utasema uko kigoma mjini. jana ulikuwa landmark. mkuu unatumia ungo au? cdm ni an institution na wala si dr slaa, mhe mbowe wala prof safari. atakaeenenda tofauti na katiba lzm awajibishwe regardless of his position in the party. acha kuwa ndomu.
Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), limesema halitakubali kuona viongozi wa kitaifa wanadhalilishwa na kudhihakiwa na kikundi cha mamluki waliopandikizwa kuharibu mikutano ya katibu mkuu wa chama hicho, Dk. willibrod Slaa.
Limesema italinda kwa nguvu zote mikutano hiyo na kukabiliana na mamluki wanaopandikizwa ili kushawishi polisi kupiga marufuku mikutano ya chadema kwa kuwa ina sura ya vurugu.
Mwenyekiti wa Bavicha taifa, John Heche, alitoa msimamo huo jana, ulioungwa mkono na viongozi wengine na wajumbe wa kamati kuu, katika kongamano la kutafakari miaka 52 ya uhuru na mustakabali wa taifa kimaendeleo.
Huku akishangiliwa na vijana wasomi wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 1000 Heche alisema vijana watailinda Chadema na viongozi wao na kamwe hawatakubali kutishwa kwani yanayojitokeza sasa hayana taswira njema kwa chama bali yanafanywa na waliobainika kuwa wasaliti na kutimuliwa.
Source:Nipashe Jumanne
si bora yeye yuko kwenye siasa je wewe unayejiviringisha kwenye viatu vya watoa book 7 Lumumba zinakutosha kweliKama kweli tunaangalia taaluma, Heche angetakiwa awe anafundisha shule ya msingi songambele iliyopo mara, ona kakimbia taaluma yake ya uwalimu. Bora hata angekuwa ana uwezo kwenye siasa huku ndio anapaharibu
John Heche ni Kijana Mahiri anayefananishwa na Wanasiasa Mahiri Waliowahi kuishi Ulimwenguni.
"Nguvu ya Umma" Imeshindwa kumlinda Kamanda Slaa?
bwn milango sita unaniacha hoi sana. next thread utasema uko kigoma mjini. jana ulikuwa landmark. mkuu unatumia ungo au? cdm ni an institution na wala si dr slaa, mhe mbowe wala prof safari. atakaeenenda tofauti na katiba lzm awajibishwe regardless of his position in the party. acha kuwa ndomu.
Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), limesema halitakubali kuona viongozi wa kitaifa wanadhalilishwa na kudhihakiwa na kikundi cha mamluki waliopandikizwa kuharibu mikutano ya katibu mkuu wa chama hicho, Dk. willibrod Slaa.
Limesema italinda kwa nguvu zote mikutano hiyo na kukabiliana na mamluki wanaopandikizwa ili kushawishi polisi kupiga marufuku mikutano ya chadema kwa kuwa ina sura ya vurugu.
Mwenyekiti wa Bavicha taifa, John Heche, alitoa msimamo huo jana, ulioungwa mkono na viongozi wengine na wajumbe wa kamati kuu, katika kongamano la kutafakari miaka 52 ya uhuru na mustakabali wa taifa kimaendeleo.
Huku akishangiliwa na vijana wasomi wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 1000 Heche alisema vijana watailinda Chadema na viongozi wao na kamwe hawatakubali kutishwa kwani yanayojitokeza sasa hayana taswira njema kwa chama bali yanafanywa na waliobainika kuwa wasaliti na kutimuliwa.
Source:Nipashe Jumanne
huwezi kukiona wewe kwa sababu kazi yako nikupotosha ukweli ili uambulie book 7 mission yenyewe imebuma hata shift siku hizi munaingia wachache mumeshachoooka kila mufanyalo munabamizwa za uso kisawasawaLabda kwa kutukana na kuropoka hii ndiyo kazi anayoiweza uliwahi kuona wapi au lini heche kaongea kitu cha maana kwenye wigo wa siasa.