Vijana tumeanza kumlinda Dr Slaa na CHADEMA-Heche

Kama kweli tunaangalia taaluma, Heche angetakiwa awe anafundisha shule ya msingi songambele iliyopo mara, ona kakimbia taaluma yake ya uwalimu. Bora hata angekuwa ana uwezo kwenye siasa huku ndio anapaharibu

mama yako kaacha kazi ya ulinzi....
 
kwani bwana mungu alisemaje katika maandiko matakatifu!!!!
BILA ULINZI WA BWANA HATA WALE WALINDAO WANAKESHA BURE.
tumieni nguvu zoooote mlizonazo kujilinda, lakini kwa sababu mnamfanyia kazi shetani, basi walinzi wenu watakuwa wankesha bure na huyu babu mzinzi slaa ataendelea kuwa VULNERABLE

na wewe unamjua mungu ?mungu yupi mpendwa,mungu baa r au bayesu, au nchweke? ccm mnamwabudu mungu yupi maana mna wabunge waganga,wachawi,washirikina,mungu wa ibrahimu,isaak,yakob,kamwe hawezi kuwa upande wenu lipo jina litupasalo kuhabudiwa kwake nalo ni jna la yesu ili ndo mlinzi wetu tunakesha kwa maombi ninyi mnakesha makaburi,tunafunga kwa ajili ya chama ninyi mnaendekeza vidonyo alufu mtegemee mungu kuwa upande wenu soma habari za mussa na farao ndo utamjua mungu wetu
 
Kama kweli tunaangalia taaluma, Heche angetakiwa awe anafundisha shule ya msingi songambele iliyopo mara, ona kakimbia taaluma yake ya uwalimu. Bora hata angekuwa ana uwezo kwenye siasa huku ndio anapaharibu

Cha nazi..vidudu!!
 
Skepticism-a doubting or questioning attitude or state of mind!
Macm mko skeptic sana kwa mtu aliyeko nje ya ccm, mnakuwa na mashaka, wasiwasi, hisia mbaya siyo msomi....nk.
Lakini akitokea mwehu kama Nape na Domogulu hata waongee uozo upi nyie kimya
 
nikweli kabisa viongozi wa chadema wanahitaji ulinzi ila ukiwa na watu aina ya heche na ukawategemea kuimalisha urinzi itakuwa ngumu hao vijana atawasimamia vipi na wakati yeye anamaliza mda wake huku hata wilaya yake anayotoka hakuna uongozi huo wa vijana na hii nikutokana na yeye na ndg yake kuwa waumini wa makundi,chuki,unafki,usaliti hali hii ipo mpaka mkoani kwake mara anaebisha amuulize uongozi wake kwa hizo ngazi huyu nae atakuwa kirusi baadae kwa chadema akijakosa madaraka
 
Mtu anayependwa sana mpaka basi anahitaji ulinzi wa nini?
Nyie vilaza wa chadema mmevurugwa.

Asiyejua njama zenu magamba nani? awamu hii mkileta chokochoko tunazaa na nyinyi! nyambafu...
 
Back
Top Bottom