Vijana tumeanza kumlinda Dr Slaa na CHADEMA-Heche

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,491
2,000
Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), limesema halitakubali kuona viongozi wa kitaifa wanadhalilishwa na kudhihakiwa na kikundi cha mamluki waliopandikizwa kuharibu mikutano ya katibu mkuu wa chama hicho, Dk. willibrod Slaa.

Limesema italinda kwa nguvu zote mikutano hiyo na kukabiliana na mamluki wanaopandikizwa ili kushawishi polisi kupiga marufuku mikutano ya chadema kwa kuwa ina sura ya vurugu.

Mwenyekiti wa Bavicha taifa, John Heche, alitoa msimamo huo jana, ulioungwa mkono na viongozi wengine na wajumbe wa kamati kuu, katika kongamano la kutafakari miaka 52 ya uhuru na mustakabali wa taifa kimaendeleo.

Huku akishangiliwa na vijana wasomi wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 1000 Heche alisema vijana watailinda Chadema na viongozi wao na kamwe hawatakubali kutishwa kwani yanayojitokeza sasa hayana taswira njema kwa chama bali yanafanywa na waliobainika kuwa wasaliti na kutimuliwa.

Source:Nipashe Jumanne
 
sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
Kama kweli tunaangalia taaluma, Heche angetakiwa awe anafundisha shule ya msingi songambele iliyopo mara, ona kakimbia taaluma yake ya uwalimu. Bora hata angekuwa ana uwezo kwenye siasa huku ndio anapaharibu
 
Khakha

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
2,983
1,500
Kama kweli tunaangalia taaluma, Heche angetakiwa awe anafundisha shule ya msingi songambele iliyopo mara, ona kakimbia taaluma yake ya uwalimu. Bora hata angekuwa ana uwezo kwenye siasa huku ndio anapaharibu

bwn milango sita unaniacha hoi sana. next thread utasema uko kigoma mjini. jana ulikuwa landmark. mkuu unatumia ungo au? cdm ni an institution na wala si dr slaa, mhe mbowe wala prof safari. atakaeenenda tofauti na katiba lzm awajibishwe regardless of his position in the party. acha kuwa ndomu.
 
kelao

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
7,574
2,000
Ni jambo la msingi kuwalinda hawa viongozi wetu,hasa wakati huu ambapo CCM wanapandikiza watu ndani ya CDM kuvuruga chama.
 
sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
bwn milango sita unaniacha hoi sana. next thread utasema uko kigoma mjini. jana ulikuwa landmark. mkuu unatumia ungo au? cdm ni an institution na wala si dr slaa, mhe mbowe wala prof safari. atakaeenenda tofauti na katiba lzm awajibishwe regardless of his position in the party. acha kuwa ndomu.

Hujamalizia ratiba yangu vizuri. Sema na weekend hii nitakuwa pale tabora na nitaonana na Shardcole. Mimi ni taasisi
 
Last edited by a moderator:

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,615
2,000
Kama kweli tunaangalia taaluma, Heche angetakiwa awe anafundisha shule ya msingi songambele iliyopo mara, ona kakimbia taaluma yake ya uwalimu. Bora hata angekuwa ana uwezo kwenye siasa huku ndio anapaharibu

Usisahau tafadhali, mwanao umwite CHADEMA maana siku zako za kujifungua zinakaribia sana.
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
miongoni mwa watu ambao hawajui siasa na uongonzi heche ni miongoni mwa hao watu hajui anafanya nini.
 
Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
5,744
2,000
John Heche ni Kijana Mahiri anayefananishwa na Wanasiasa Mahiri Waliowahi kuishi Ulimwenguni.
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
bwn milango sita unaniacha hoi sana. next thread utasema uko kigoma mjini. jana ulikuwa landmark. mkuu unatumia ungo au? cdm ni an institution na wala si dr slaa, mhe mbowe wala prof safari. atakaeenenda tofauti na katiba lzm awajibishwe regardless of his position in the party. acha kuwa ndomu.

chama chenu chadema kilishakufa hakina nafasi tena kwenye jamii huwezi kuwa na chama cha kilaghai kama chadema halafu kidumu haitatokea.
 
MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,935
2,000
Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), limesema halitakubali kuona viongozi wa kitaifa wanadhalilishwa na kudhihakiwa na kikundi cha mamluki waliopandikizwa kuharibu mikutano ya katibu mkuu wa chama hicho, Dk. willibrod Slaa.

Limesema italinda kwa nguvu zote mikutano hiyo na kukabiliana na mamluki wanaopandikizwa ili kushawishi polisi kupiga marufuku mikutano ya chadema kwa kuwa ina sura ya vurugu.

Mwenyekiti wa Bavicha taifa, John Heche, alitoa msimamo huo jana, ulioungwa mkono na viongozi wengine na wajumbe wa kamati kuu, katika kongamano la kutafakari miaka 52 ya uhuru na mustakabali wa taifa kimaendeleo.

Huku akishangiliwa na vijana wasomi wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 1000 Heche alisema vijana watailinda Chadema na viongozi wao na kamwe hawatakubali kutishwa kwani yanayojitokeza sasa hayana taswira njema kwa chama bali yanafanywa na waliobainika kuwa wasaliti na kutimuliwa.

Source:Nipashe Jumanne

"Nguvu ya Umma" Imeshindwa kumlinda Kamanda Slaa?
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,758
2,000
Kama kweli tunaangalia taaluma, Heche angetakiwa awe anafundisha shule ya msingi songambele iliyopo mara, ona kakimbia taaluma yake ya uwalimu. Bora hata angekuwa ana uwezo kwenye siasa huku ndio anapaharibu
si bora yeye yuko kwenye siasa je wewe unayejiviringisha kwenye viatu vya watoa book 7 Lumumba zinakutosha kweli
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
John Heche ni Kijana Mahiri anayefananishwa na Wanasiasa Mahiri Waliowahi kuishi Ulimwenguni.

Labda kwa kutukana na kuropoka hii ndiyo kazi anayoiweza uliwahi kuona wapi au lini heche kaongea kitu cha maana kwenye wigo wa siasa.
 
notradamme

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
2,012
1,195
kwani bwana mungu alisemaje katika maandiko matakatifu!!!!
BILA ULINZI WA BWANA HATA WALE WALINDAO WANAKESHA BURE.
tumieni nguvu zoooote mlizonazo kujilinda, lakini kwa sababu mnamfanyia kazi shetani, basi walinzi wenu watakuwa wankesha bure na huyu babu mzinzi slaa ataendelea kuwa VULNERABLE
 
tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,100
1,195
bwn milango sita unaniacha hoi sana. next thread utasema uko kigoma mjini. jana ulikuwa landmark. mkuu unatumia ungo au? cdm ni an institution na wala si dr slaa, mhe mbowe wala prof safari. atakaeenenda tofauti na katiba lzm awajibishwe regardless of his position in the party. acha kuwa ndomu.

katiba ipi? ya 1994? 2004? 2006? maana maelezo ya Katiba hizo zilivyobadilishwa hayaeleweki kabisa_ila kuna moja maalum kwa ajili ya Mbowe sasa sijui itamuajibishaje_siasa za CDM wanaziweza wezi tu
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), limesema halitakubali kuona viongozi wa kitaifa wanadhalilishwa na kudhihakiwa na kikundi cha mamluki waliopandikizwa kuharibu mikutano ya katibu mkuu wa chama hicho, Dk. willibrod Slaa.

Limesema italinda kwa nguvu zote mikutano hiyo na kukabiliana na mamluki wanaopandikizwa ili kushawishi polisi kupiga marufuku mikutano ya chadema kwa kuwa ina sura ya vurugu.

Mwenyekiti wa Bavicha taifa, John Heche, alitoa msimamo huo jana, ulioungwa mkono na viongozi wengine na wajumbe wa kamati kuu, katika kongamano la kutafakari miaka 52 ya uhuru na mustakabali wa taifa kimaendeleo.

Huku akishangiliwa na vijana wasomi wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 1000 Heche alisema vijana watailinda Chadema na viongozi wao na kamwe hawatakubali kutishwa kwani yanayojitokeza sasa hayana taswira njema kwa chama bali yanafanywa na waliobainika kuwa wasaliti na kutimuliwa.

Source:Nipashe Jumanne

hawa vijana ni wale waviziaji au wapo wengine wameajiliwa kwa kazi hiyo?
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,758
2,000
Labda kwa kutukana na kuropoka hii ndiyo kazi anayoiweza uliwahi kuona wapi au lini heche kaongea kitu cha maana kwenye wigo wa siasa.
huwezi kukiona wewe kwa sababu kazi yako nikupotosha ukweli ili uambulie book 7 mission yenyewe imebuma hata shift siku hizi munaingia wachache mumeshachoooka kila mufanyalo munabamizwa za uso kisawasawa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom