Vijana tuelewane kidogo

Aisee mnaomba hela sanaaa hadi kupitiliza.

Na ndio maana na sisi wanaume tunamega tundaa wee, hali ikizidi kuwa mbaya tunajitoa.

Na hatusemi sababu, tusijulikane tunakimbia kuhonga.
Hapo inakua bila bila
 
Ngoja nifike 35 nifikirie ilo jambo
 
Hapo inakua bila bila
Bila bila huku kamegwa tunda limekuliwa

It different na side ya men, sisi waga hatukuliwi, bali tunakula ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Ushauri mzuri.
 
Bila bila huku kamegwa tunda limekuliwa

It different na side ya men, sisi waga hatukuliwi, bali tunakula ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hapo tunakulana bana, maana kama ni utamu si tunapata wote.... Hauniachii kovu wala alama yoyote๐Ÿ˜›

Ni mindset tu mmejiwekea kua ukila tunda na kusepa basi mmetukomoa of which in reality unaweza kuta mdada hata hakua na mpango na wewe.
 
Kasome story ya ThaGreatman ndio utajua kuna mawili, either mjengane ama mbomoane.
Unforgetable
Kwa upande wangu jijenge kwanza ukiweza una weza kumjenga mtu pia. Ngumu sana kujengana while kila mtu ana tafta chake kwa mwenzake huyu smartphone, nywele saloon, outings, swimming wewe wife, savings, family, good ride, business. these are two different streams of people. Make urself first akukute you got ur own life. Then teacher her how you want her to live with you nigger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ