Vijana si wapiga kura katika chaguzi.


C

CHIPANJE

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Messages
313
Likes
5
Points
35
C

CHIPANJE

JF-Expert Member
Joined May 1, 2011
313 5 35
Ikiwa uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga umemalizika,utaona idadi ya wapiga kura ni nusu ya wapiga kura waliojiandikisha katika daftari la kudumu.

Waliopiga kura ni watu si zaidi ya 50 elfu wakati waliojiandikisha ni zaidi ya laki moja.

Mtazamo ni kwamba,vijana wengi ni mashabiki na si wakereketwa,hufika siku ya siku hawajitokezi kwenda kupiga kura.Ipo haja ya makusudi zichukuliwe katika namna yoyote uma upewe elimu juu ya upigaji kura la sivyo hatujitendei haki.
 

Forum statistics

Threads 1,237,584
Members 475,561
Posts 29,293,942