goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Naenda kukopa benki halafu nafanya muziki... [emoji23] [emoji1] uone kama sitatoboa kimaisha...
Punguza jazba umsome vizuri utaelewa nn alimaanishaambacho huamini hapo ni nini ?
Wote sisi ni watumishi manispaa ya Ilala
Only if ukiweza cheza na timing,kuna watu wanasema hela ipo shamba ni kweli lakini inabidi mtu ujipange haswa.