Vijana Njooni CCM, ndoto zenu zitatimia

We mkwapizi wa simu unataka utueleze nini sisi, au ccm kuna mafunzo ya kukwapua simu ndio unataka tuyafate

Leo ninethibitisha ni jinsi gani usivyo na akili na ulivyokosa kazi we kiazi..
Hujui unachofanya hapa jf mpaka unamtukana mwanachadema Erickb52 na kuacha kumjibu mtoa mada..
you are so imbecilic
 
Last edited by a moderator:
mjinga mjibu kwa kiasi cha ujinga wake....kwani mtoto wa mwanasiasa anakuwa mwansiasa kwa hiyari au analazimika tu.?

Ooh salale sasa wewe ndio umekuwa mwerevu sio?

Hebu niambie huyu aligombea kwa hiyari yake? Hadi mke akaingia ulingoni kumuokolea jahazi? Baba mkwe naye pia akaingia? Si Lusinde alisema tumchague ili asaidie familia ya marehemu babab yake kwa maposho atayo yapata? Baba yake angekuwa mvuvi angeacha kazi bank akavue samaki?

4.jpg

kabisa mkuu Paul Makonda

CCM ni chama pekee kinacholea watu ktk maadili..kuheshimiana na upendo..

Huko kwenye vichaka vya siasa ni kufundisha matusi..uuwaji...uzinzi na uongo..

CCM ndo Chama makini
 
Last edited by a moderator:
Paul Makonda tangu lini CCM wameikomboa TANZANIA toka kwawakoloni?kweli ccm nishamba lamamburura!Tanzania ilikombolewa naccm?acha kujifanya mzalendo kwanchi kwakuwaaminisha watz ccm inafaa wakati nidebe tupu!endelea kujipendekeza.
 
Last edited by a moderator:
Ccm itaongoza nchi hii milele

mkuu inaweza kutokea bahati mbaya ukapata nafasi ya kuwania uongozi nakuapia hizi kauli zisizo na hata chembe ya kutumia ubongo zitakufunga.,ndiyo unaipenda ccm lakin bakiza kidogo huwezi jua nini kitatokea kwa upande wa wapnzani., kwanini ujiwekee mazingira hatari endapo ccm ikishindwa uchaguzi?
 
Mbona wengine humu tumepiga mpaka kwata la chipukizi na leo tumeingia kwenye 40s lakini ndoto zetu hazijatimia .......!! Au ndiyo mmegundua leo siyo. Those day mlikuwa mkisema vijana ni taifa la kesho ..........na mpaka leo hiyo kesho hatujaiona kwa sababu za recycling ndani ya CCM!! Utafikiri tuko North Korea!!
 
Miaka 50 Ccm imeshindwa kuwasaidia Vijana leo ndio mnasema eti njooni Ccm ndoto zenu zitatimia?
Vijana wa Ccm ni kina Rizwan, Hussein Mwinyi,Nape Nauye,,Fred Lowassa na GODFREY MGIMWA,, wengine ni Wasindikizaji tu km alivyo bibi harusi.

Sio nyie Ccm mlianzisha slogun isemayo VIJANA NI TAIFA LA KESHO?
 
Jamani ni kweli... vijana njooni mtimize ndoto zenu za kuwa na fani mbali mbali:
1. Ukitaka kuwa mwanajeshi binafsi
2. Ukitaka uendeleze kipaji cha matanuzi mijini...

dokiii bhana!kazi kutembeza kipochimanyoya kwamapedeshee mafisadi waccm!acha ujinga fanya sanaa isiyo namlengwa wakisiasa vinginevyo utatumika kama dekio kwenye kila kampeni zao bila faida!hivi wimbo wako wa Obama umeishia wapi?hadi tbccm wameuweka kapuni!visanii vingine bhana njaa sana...
 
Kama mpaka leo haujajua mafanikio ambayo tayari vijana hao niliowataja wameyafikia katika umri wao kisiasa basi naomba ukubali kuwa uko mbali sana na habari za kisiasa na matukio yake, na sidhani kama hata uwepo wako hapa kwenye jukwaa la siasa la jamiiforums kuna maana yeyote.

Miongoni mwa vijana waliopokea tuzo ya wanasiasa bora barani Afrika ni pamoja na January Makamba, lakin pia ni miongoni mwa manaibu waziri vijana ambao wameendelea kufanya vizuri katika Wizara zao lakini pia alikuwa ni Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi, katibu wa Idara ya SUKI ya CCM, na bado ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama..,hizo nafasi zote ni za juu mno kimaamuzi ndani ya Chama na Nchi. Lakini hilo la tuzo linampa sifa ya Kimataifa kuwa miongoni wa Vijana watatu wanaofanya siasa bora barani Africa January ni wa Kwanza wao. Katika Chadema sio tu vijana bali hata wazee wao hakuna hata aliyepewa tuzo ya kuwa kiongozi bora wa Mtaa achilia mbali tuzo za Kitaifa ama za kitaifa.

Ama Nape na Jerry inafahamika wazi kuwa ukitaja majina hayo hasa NAPE kila kona ya Tanzania watakuambia ni nani, ni hiyo kisiasa ina maana kubwa ikiwa unafahamu. Wote ni wajumbe wa kamati kuu ya Chama, wajumbe wa halmashauri kuu ya Taifa na kwa Nape ni Katibu wa Idara ya Itikadi na uenezi na alishawahi kuwa DC wa masasi, hali ya kuwa Jerry ni Mjumbe wa Baraza kuu la UVCCM Taifa pia ni meya wa Manispaa ya Ilala.

Niambie kuwa hayo sio mafanikio wakiwa na umri huo. Wote niliowataja hakuna aliyetimiza miaka 40, January 39 Nape 37 na Jerry 29. Nitajie mafanikio ya hata mwanasiasa mmoja wa Chadema ama chama kingine cha upinzani hapa nchini ambae hata anakaribia robo ya mafanikio hayo..?

Karibu CCM na kazi inaendelea....!!!

Kijana, sikiliza. Iwapo umesoma vyema nilichoandika, hapana pahala nilipotaja kuwa mimi ni mwanachama wa chama chochote. Siamini kwenye vyama kamwe! Usiniulize vyama vingine vimefanya nini, si msemaji wa vyama. Nao wangekuja na ujumbe kama wako ningewauliza swali kama ninavyofanya kwako.

Swali, zaidi ya mafanikio yao BINAFSI, wamesaidia nini maisha ya mTanzania wa kawaida? Kwamba January amepata tuzo, ni yake. Nape anajulikana kila kona ya Tanzania, halafu iweje?

Yaani ni kweli vijana wetu tunaowategemea mmefika hatua hii ya kupembua mambo?
 
Siji... kafieni mbali na CCM yenu.
By the way... baba yangu hana cheo CCM...
 
Ndoto unazoongelea ni zipi? kama unaongelea ndoto za ufisadi, kuuza sembe,kuuza twiga wetu, kuangamiza tembo wetu kwa sababu ya fedha za haraka haraka etc etc hapo hata mimi nawatakia safari njema
 
mara nyingi ambao wanawaza kama wewe ni wale ambao misukule wafuasi wa josephine. Lakini kijana makini hawezi kukubaliana n mawaz yako. CCM ndio mpango mzima.,binafsi natamani ningeanza maisha yangu ya kisiasa ndani ya CCM, najihisi kuchelewa.

wewe useme ulichelewa kula hela za mwigulu na za ZIto ili na wewe uliwe (JK, 2005), hakuna lingine
 
Kama mpaka leo haujajua mafanikio ambayo tayari vijana hao niliowataja wameyafikia katika umri wao kisiasa basi naomba ukubali kuwa uko mbali sana na habari za kisiasa na matukio yake, na sidhani kama hata uwepo wako hapa kwenye jukwaa la siasa la jamiiforums kuna maana yeyote.

Miongoni mwa vijana waliopokea tuzo ya wanasiasa bora barani Afrika ni pamoja na January Makamba, lakin pia ni miongoni mwa manaibu waziri vijana ambao wameendelea kufanya vizuri katika Wizara zao lakini pia alikuwa ni Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi, katibu wa Idara ya SUKI ya CCM, na bado ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama..,hizo nafasi zote ni za juu mno kimaamuzi ndani ya Chama na Nchi. Lakini hilo la tuzo linampa sifa ya Kimataifa kuwa miongoni wa Vijana watatu wanaofanya siasa bora barani Africa January ni wa Kwanza wao. Katika Chadema sio tu vijana bali hata wazee wao hakuna hata aliyepewa tuzo ya kuwa kiongozi bora wa Mtaa achilia mbali tuzo za Kitaifa ama za kitaifa.

Ama Nape na Jerry inafahamika wazi kuwa ukitaja majina hayo hasa NAPE kila kona ya Tanzania watakuambia ni nani, ni hiyo kisiasa ina maana kubwa ikiwa unafahamu. Wote ni wajumbe wa kamati kuu ya Chama, wajumbe wa halmashauri kuu ya Taifa na kwa Nape ni Katibu wa Idara ya Itikadi na uenezi na alishawahi kuwa DC wa masasi, hali ya kuwa Jerry ni Mjumbe wa Baraza kuu la UVCCM Taifa pia ni meya wa Manispaa ya Ilala.

Niambie kuwa hayo sio mafanikio wakiwa na umri huo. Wote niliowataja hakuna aliyetimiza miaka 40, January 39 Nape 37 na Jerry 29. Nitajie mafanikio ya hata mwanasiasa mmoja wa Chadema ama chama kingine cha upinzani hapa nchini ambae hata anakaribia robo ya mafanikio hayo..?

Karibu CCM na kazi inaendelea....!!!

Jerry 29????????labda katika makaratasi
 
makonda kumbe upo CCM kwa ajiri ya kuneemeka?????????mimi ni mwanachama wa CCM ila sipo katika kwa ajiri ya neema,najishughurisha na shughuli zingine,nimesitika sana juu ya kauli hii'tunahitaji Vijana wenyewe kuelewa Jamii ya Masikini Tanzania.
Makonda je kipindi kile cha mfumo wa chama Kimoja,naamini vijana na wengi wao walikua ni CCM je walineemeka?
#Ex Tanzania Simper aliquid novel#
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom