RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
kiongozi yeyote anapokemea maovu ya serikali hajisemei yeye kama yeye ni wajibu wake kuelimisha umna kuhusu uovu wowote unaofanywa na serikali yao sasa kuna wimbi kubwa la vijana linapotokea swala hilo mara nyingi kuna kauli za kizamani kuwa alikuwa wapi kusema hayo maneno kama haya hayajengi na haya ni maneno yaliyopitwa na wakati ! uovu hauwezi kutawala halafu watu wakaa kimya eti kwa sababu kiongozi flan alikuwa kwenye serikali au yumo ndani ya serikali kwa maana hiyo vijana hasa wa ccm mfano kenan kihongosi usitoe majibu ya jumlajumla kwa kauli alizozitoa Dr. Bashiru kama zinajenga au zibabomoa hatuwezi kukaa kuisifia serikali hata kama inakosea eti kwa kigezo kwamba kwa kuwa alikuwa ndani ya Serikali hapaswi kusema chochote bali anapaswa kushukru.hizi kauli hazina afya njema katika taifa letu.
Nasisi watoa maoni tumejijengea maneno ya alikuwa wapi mara mbona hakusema kipindi hicho mara amekosa mkate , kiongozi anapotoa maoni yake hatoi kwa ajiri ya kujisemea yeye mwenyewe bali husema kwa niaba ya wote.jiulize kama wewe huwezi kwenda kuzungumza kwenye media nani atakusemea matatizo yako?
Badilikeni vijana hata leo wakistaafu hao ns utawala ukawa na njia yake katika kuongoza nchi mtaanza kusema mbona kipindi hicho hakuyasema!
Binafsi mimi kiongozi yeyote anayekemea uovu na muunga mkono ili taifa lipone tukishindwa kuwaunga mkono vikundi vidogo vitajinemesha cake ya taifa huku watanzania zaidi ya mamilion wakikosa huduma za msingi za kijamii wengine wakiishi maisha mazuri na familia zao
Tanzania viongozi wa ccm wanaanda vijana wao kutawala watanzania kwani vijana wao husoma shule nzuri hadi wanamaliza huku wengine wakikosa miundo mbinu mizuri ya shule na kukosa elimu, kinachobaki unabaki kuwa chawa wao wa kusifu na kuabudu kama tunavyoona hivi sasa.
Serikali ya awamu ya tano ilikuwa ikianzisha mradi wowote kama mkataba unasema miaka mitatu ni miaka hiyihiyo mitatu tunapata mradi cha ajabu sasa hivi mradi unaweza kuambiwa mara miaka mitatu mara minne mara mitano mara kuna tatizo kwenye mradi hayo yote jiulizeni nini kinachokuwa kinakwamisha miradi jueni ni hujuma pesa zinaliwa za kutekekeza miradi hyo,