Tazama waliojaribu kupewa uongozi hapa kwetu na papara walizonazo wakishindana kuiba wawe sawa au zaidi ya wanasiasa wazee walioiba tangu uhuru.
US wanawahubiria vitu wasivyoishi. Mfano, hawapigii kura jinsia bali uwezo wa mtu na wala hakuna cha viti maalum bungeni kwa wanawake. Yani hakuna usawa wa viti kwa upendeleo wa kijinsia.
Hakuna eti zamu ya vijana, ni mwendo wa kuuza sera na uwezo.