Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Na kama akili yako ni matope namna hii utakaa sana.
Tumekaa na ccm sasa miaka 37 kila walichokikuta wamekiua kuanzia vya kwae vyenyewe mfano sukita,jengo la kitega uchimi la umoja wa vijana nk.
Pia wametafuna reli,atc,viwanda vyote,mashamba ya umma,vyama vya ushirika,azimio la arusha,miiko ya uongozi,nyumba za srikali wameuziana viongozi,deni la taifa kulilipa mpaka tuuuze mkoa wa kigoma nk.
Sasa kwa akili yako tunapoiona chadema ni kama mkombozi na ni kama kuanza chekechea yenye matumaini ili kuelekea primary,o level,a level na hatimaye tupate digree ya maendeleo sisi ni wajinga?
Ccm tuliiamini nayo ikatuaminisha inaweza kutupa digree tukiwa darasa la kwanza lakini miaka 37 imeisha wamekula mpaka ubao wa kuandikia wamelamba chaki na hata viboko vya kuwaadhibia watukutu(miiko ya uongozi)wamekula tuwaeleweje?
Kama ingekuwa jeshini wewe ungekela risasi maana tumeingia aruwa wewe unataka kuturudiasha mutukula.
Toka mwaka huu umeanza hii ndio comment yenye akili kuliko zote katika jukwaa la siasa. My broda, this is thinking big..,