Habari wana JF,
Kwendana na tathmini yangu binafsi ninaona kwa hii hali ya ugumu wa Ajira na ugumu wa mzunguko wa Pesa, kuna vijana wengi mno wako mitaani ambao hawana kisomo wala vyeti wala uwezo wa kuwa na mtaji wa kuanzisha aina yeyote ya Biashara na ndo vibaka au majambazi watarajiwa.Hivyo nlipenda kuuliza hawa vijana waende wapi?? labda yani kuna shirika la kiserekali la kuwasaidia either kupata kisomo kwa mkopo then wakifanikiwa kupata kazi wanarejesha ama kuna utaratibu gani wa kuwa wezesha vijana ambao wako tu mitaani.
Ahsanteni.