Vijana msipapalike na mashuga Mama, mtakufa mapema

Vijana msipapalike na mashuga Mama, mtakufa mapema

Nimeamua niwasanue vijana wenzangu tafuta wa umri wako hawa km zimesoma sana wasipokupiga na UKIMWI wanakupiga na homa ya in.

Wa mama watu wazima kuanzia 40 wanapenda sana kugongwa
767d4a3f-a3eb-4e1f-894b-b9698021b407.jpeg
 
Unazungumzia mashuga mama tu unacha kuwaambia pia waepukanane na visungura,dabokiki na sigara ambavyo vinafanya vijana waonekane wazee
 
Sorry hivi chanjo ya homa ya ini zinatolewa bure au zinauzwa na zipo kwenye hosp za level zipi
No,Labda kwa wenye bima,anzia hospital za wilaya ni uhakika.

Chanjo inalipiwa kuanzia kupima mpaka kumaliza dozi 3 haizidi 60K.

Unalipia kwa awamu 3 kila ukienda kuchoma!
 
Unazungumzia mashuga mama tu unacha kuwaambia pia waepukanane na visungura,dabokiki na sigara ambavyo vinafanya vijana waonekane wazee
Ila hawa wamama watu wazima wamezidi umalaya kwa watoto na vijana wengi wanajikuta Wapo kwenye visungura ili kutafuta nyege kumbe ndo wanajiua plus UKIMWI
 
No,Labda kwa wenye bima,anzia hospital za wilaya ni uhakika.

Chanjo inalipiwa kuanzia kupima mpaka kumaliza dozi 3 haizidi 60K.

Unalipia kwa awamu 3 kila ukienda kuchoma!
Thanks much kwa maelezo mazuri
 
Back
Top Bottom