Mama mkwe wake anakuja toka mkoani. Sasa ananambia anataka akampokee airport.nikamuuliza utatumia usafiri gani. Anasema atatumia gari yake RAV 4 KILL TIME. nmeshtuka sana.
Nmemuuliza kama yupo serious.unawezaje mpakiza mama mkwe gari ya namna hiyo? Hiyo Rav 4 si ni sawa na IST tu engine yake? Nmemwambia aje home achukue BMW sababu mama mkwe wake atakaa Week then akae nayo tu week.
Alichonijibu ndo nmechoka. Eti hana uwezo wa kununua mafuta kwa ajili ya BMW... nmeshangaa sasa jamaa aliwezaje kuoa? Sometime vijana tunaoa tukiwa bado hatupo vizuri.
Nmemwambia nakuwekea full tank mwache mama mkwe aenjoy hapa mjini.nmemjazia mafuta atatumia week nzima. Kuhusu ajali nmemwambia asijali mi gari zangu zote iwe ile Benz, zile Range Rover mbili, Ford Ranger na BMW zote nazikatia Bima kubwa.
Mi nawashauri vijana msioe kama bado hamjajipanga.unaweza kuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo,ist,vitz n.k hii inataka moyo sana.kikawaida ni ngumu.
Huto tugari ni kwa ajili ya kuwapa wadada wa kazi kwendea sokoni n.k but si kutumia mtu mzima. Mi nashauri tusione kabla ya wakati. Tusubiri tu...siyo kuja kuwapa shida watoto wa watu.
"The hungry man is angry" just come and spit your stuff. Sisi tunakula maisha.nyie je mnakula nini?
Hahaaa mkuu wakury wanahusikaaje hapaHapa sio pa kukaa sana, muda si mrefu patachimbika, ngoja waje wakurya
Natafuta tusi moja nikutukane sema nimekusamehe maana nyuma ya keyboard uwenda nawe unamwomba mungu upate chakuamshia kinywa siku ya leoMama mkwe wake anakuja toka mkoani. Sasa ananambia anataka akampokee airport.nikamuuliza utatumia usafiri gani. Anasema atatumia gari yake RAV 4 KILL TIME. nmeshtuka sana.
Nmemuuliza kama yupo serious.unawezaje mpakiza mama mkwe gari ya namna hiyo? Hiyo Rav 4 si ni sawa na IST tu engine yake? Nmemwambia aje home achukue BMW sababu mama mkwe wake atakaa Week then akae nayo tu week.
Alichonijibu ndo nmechoka. Eti hana uwezo wa kununua mafuta kwa ajili ya BMW... nmeshangaa sasa jamaa aliwezaje kuoa? Sometime vijana tunaoa tukiwa bado hatupo vizuri.
Nmemwambia nakuwekea full tank mwache mama mkwe aenjoy hapa mjini.nmemjazia mafuta atatumia week nzima. Kuhusu ajali nmemwambia asijali mi gari zangu zote iwe ile Benz, zile Range Rover mbili, Ford Ranger na BMW zote nazikatia Bima kubwa.
Mi nawashauri vijana msioe kama bado hamjajipanga.unaweza kuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo,ist,vitz n.k hii inataka moyo sana.kikawaida ni ngumu.
Huto tugari ni kwa ajili ya kuwapa wadada wa kazi kwendea sokoni n.k but si kutumia mtu mzima. Mi nashauri tusione kabla ya wakati. Tusubiri tu...siyo kuja kuwapa shida watoto wa watu.
"The hungry man is angry" just come and spit your stuff. Sisi tunakula maisha.nyie je mnakula nini?
Hahahaha sio kwa povu hili we mtu nimekumissHIZI NI DALILI ZA USHAMBA NA UNGESE
Hongera Mhaya kwa kumiliki magari ya kifahari
Mimi ninavyojua Kila mtu anayeishi maisha ya uwezo wake lazima atakua na amani moyoni usitulazimishe tuishi maisha yako
Hahahaha sio kwa povu hili we mtu nimekumiss
kijana mpumbavu huyu anatuletea hekaya za abunuwasi anaandika kuhusu range huku hata boxer hana...Hahahaha sio kwa povu hili we mtu nimekumiss
Mh mbona sijaona hizo salaam jamani ulifika chocho gani uko insta babekijana mpumbavu huyu anatuletea hekaya za abunuwasi anaandika kuhusu range huku hata boxer hana...
mekumiss pia insta babe... leo asubuhi nilikuwa nakutafuta kwenye chocho zako hadi nikakupata nahisi uliona salamu zangu
Kwa maoni yangu wewe ni mpumbavu sana.Mama mkwe wake anakuja toka mkoani. Sasa ananambia anataka akampokee airport.nikamuuliza utatumia usafiri gani. Anasema atatumia gari yake RAV 4 KILL TIME. nmeshtuka sana.