Vijana msioe kama bado hamjajipanga, unakuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo, ist, vitz n.k

Hahha nilitaka nisisome hii thread ila baada kuona jina la kiduku nimefungua fasta aisee
huyu mn sikuhz nikiona tu uzi wake lazma niufungue maana lazma ubaki kinywa wazi,

BTW namfaham alikua anaendesha guta la mapapai pale buguruni, labda ametoboa kweli japo anamatatzo ya kupoteza kumbukumbu
 
Amgharamie hivyo mama ake mkwe kwani anamtomba au iwe wise welcoming ya kawaida tu mbwembwe za kazi gani mkewe asije akaona wivu kwanini amjali ivo
 
huyu mn sikuhz nikiona tu uzi wake lazma niufungue maana lazma ubaki kinywa wazi,

BTW namfaham alikua anaendesha guta la mapapai pale buguruni, labda ametoboa kweli japo anamatatzo ya kupoteza kumbukumbu
Hahaha kumbe unamfahamu
 
Hii Uzi umekaa kifalsafa sana,Kuna mtu hapa ataibuliwa kutokana na kauli yake.Only great thinkers will understand this thread!
 
Hizi thread huwa nizampito2 so tuwavumilieni2 kama tunavyowavumilia wawapo nyumbani kipindi chalikizo
 
Mama mkwe wake anakuja toka mkoani. Sasa ananambia anataka akampokee airport.nikamuuliza utatumia usafiri gani. Anasema atatumia gari yake RAV 4 KILL TIME. nmeshtuka sana.

Nmemuuliza kama yupo serious.unawezaje mpakiza mama mkwe gari ya namna hiyo? Hiyo Rav 4 si ni sawa na IST tu engine yake? Nmemwambia aje home achukue BMW sababu mama mkwe wake atakaa Week then akae nayo tu week.

Alichonijibu ndo nmechoka. Eti hana uwezo wa kununua mafuta kwa ajili ya BMW... nmeshangaa sasa jamaa aliwezaje kuoa? Sometime vijana tunaoa tukiwa bado hatupo vizuri.

Nmemwambia nakuwekea full tank mwache mama mkwe aenjoy hapa mjini.nmemjazia mafuta atatumia week nzima. Kuhusu ajali nmemwambia asijali mi gari zangu zote iwe ile Benz, zile Range Rover mbili, Ford Ranger na BMW zote nazikatia Bima kubwa.

Mi nawashauri vijana msioe kama bado hamjajipanga.unaweza kuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo,ist,vitz n.k hii inataka moyo sana.kikawaida ni ngumu.

Huto tugari ni kwa ajili ya kuwapa wadada wa kazi kwendea sokoni n.k but si kutumia mtu mzima. Mi nashauri tusione kabla ya wakati. Tusubiri tu...siyo kuja kuwapa shida watoto wa watu.

"The hungry man is angry" just come and spit your stuff. Sisi tunakula maisha.nyie je mnakula nini?
Hii bangi ya wapi mkuu?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Akilii ni nywele sasa hapo kwenye kiduku ndio tunapata akili iliyovurugwa all in all una utani mzuri unatupa hasira ma-bachelor
 
Natafuta tusi moja nikutukane sema nimekusamehe maana nyuma ya keyboard uwenda nawe unamwomba mungu upate chakuamshia kinywa siku ya leo
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Siku nyingine ukitaka kutukana usihangaike kutafuta matusi yeye ndio anayajua matusi wewe unasemaโ€ matusi yote ya nguoni yakuendeeโ€ unakuwa umemaliza vizuri
 
Hii ndyo jamii forum tungekuwa tunafahamiana humu sijui ingekuwaje kila mtu humu ni milionea
 
Back
Top Bottom