Vijana msioe kama bado hamjajipanga, unakuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo, ist, vitz n.k

Mama mkwe wake anakuja toka mkoani. Sasa ananambia anataka akampokee airport.nikamuuliza utatumia usafiri gani. Anasema atatumia gari yake RAV 4 KILL TIME. nmeshtuka sana.

Nmemuuliza kama yupo serious.unawezaje mpakiza mama mkwe gari ya namna hiyo? Hiyo Rav 4 si ni sawa na IST tu engine yake? Nmemwambia aje home achukue BMW sababu mama mkwe wake atakaa Week then akae nayo tu week.

Alichonijibu ndo nmechoka. Eti hana uwezo wa kununua mafuta kwa ajili ya BMW... nmeshangaa sasa jamaa aliwezaje kuoa? Sometime vijana tunaoa tukiwa bado hatupo vizuri.

Nmemwambia nakuwekea full tank mwache mama mkwe aenjoy hapa mjini.nmemjazia mafuta atatumia week nzima. Kuhusu ajali nmemwambia asijali mi gari zangu zote iwe ile Benz, zile Range Rover mbili, Ford Ranger na BMW zote nazikatia Bima kubwa.

Mi nawashauri vijana msioe kama bado hamjajipanga.unaweza kuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo,ist,vitz n.k hii inataka moyo sana.kikawaida ni ngumu.

Huto tugari ni kwa ajili ya kuwapa wadada wa kazi kwendea sokoni n.k but si kutumia mtu mzima. Mi nashauri tusione kabla ya wakati. Tusubiri tu...siyo kuja kuwapa shida watoto wa watu.

"The hungry man is angry" just come and spit your stuff. Sisi tunakula maisha.nyie je mnakula nini?
nyie kuleni maisha sisi tunakula papuchi za wanawake kama wewe
 
Hii Dunia kuna matajiri na wenye hela, Ila nmegundua wenye hela wana kelele sana kuliko matajiri
 
Jamani we kaka naomba nikufollow ili niwe nacheka tu mimi Shunie hebu pita hapa ucheke
Mtoa mada ni wale wanaouza mikanda kwa kulazmisha k.koo hajapata mteja, amefksha saa kumi hajala kitu akaamua tu afunge moja kwa moja, sasa imefka mda wa kufuturu futar hana, anajarb bahat yake apate hata daku.

Namuombea msamaha kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Mama mkwe wake anakuja toka mkoani. Sasa ananambia anataka akampokee airport.nikamuuliza utatumia usafiri gani. Anasema atatumia gari yake RAV 4 KILL TIME. nmeshtuka sana.

Nmemuuliza kama yupo serious.unawezaje mpakiza mama mkwe gari ya namna hiyo? Hiyo Rav 4 si ni sawa na IST tu engine yake? Nmemwambia aje home achukue BMW sababu mama mkwe wake atakaa Week then akae nayo tu week.

Alichonijibu ndo nmechoka. Eti hana uwezo wa kununua mafuta kwa ajili ya BMW... nmeshangaa sasa jamaa aliwezaje kuoa? Sometime vijana tunaoa tukiwa bado hatupo vizuri.

Nmemwambia nakuwekea full tank mwache mama mkwe aenjoy hapa mjini.nmemjazia mafuta atatumia week nzima. Kuhusu ajali nmemwambia asijali mi gari zangu zote iwe ile Benz, zile Range Rover mbili, Ford Ranger na BMW zote nazikatia Bima kubwa.

Mi nawashauri vijana msioe kama bado hamjajipanga.unaweza kuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo,ist,vitz n.k hii inataka moyo sana.kikawaida ni ngumu.

Huto tugari ni kwa ajili ya kuwapa wadada wa kazi kwendea sokoni n.k but si kutumia mtu mzima. Mi nashauri tusione kabla ya wakati. Tusubiri tu...siyo kuja kuwapa shida watoto wa watu.

"The hungry man is angry" just come and spit your stuff. Sisi tunakula maisha.nyie je mnakula nini?
sasa mm nilioa tuliweka godoro chini, karibu sasa uone. Na mama mke mpaka sasa heshima debe, hapo unamfundisha maisha ya kuigiza
 
Mama mkwe wake anakuja toka mkoani. Sasa ananambia anataka akampokee airport.nikamuuliza utatumia usafiri gani. Anasema atatumia gari yake RAV 4 KILL TIME. nmeshtuka sana.

Nmemuuliza kama yupo serious.unawezaje mpakiza mama mkwe gari ya namna hiyo? Hiyo Rav 4 si ni sawa na IST tu engine yake? Nmemwambia aje home achukue BMW sababu mama mkwe wake atakaa Week then akae nayo tu week.

Alichonijibu ndo nmechoka. Eti hana uwezo wa kununua mafuta kwa ajili ya BMW... nmeshangaa sasa jamaa aliwezaje kuoa? Sometime vijana tunaoa tukiwa bado hatupo vizuri.

Nmemwambia nakuwekea full tank mwache mama mkwe aenjoy hapa mjini.nmemjazia mafuta atatumia week nzima. Kuhusu ajali nmemwambia asijali mi gari zangu zote iwe ile Benz, zile Range Rover mbili, Ford Ranger na BMW zote nazikatia Bima kubwa.

Mi nawashauri vijana msioe kama bado hamjajipanga.unaweza kuta mtu anampakiza mama mkwe kwenye gari kama passo,ist,vitz n.k hii inataka moyo sana.kikawaida ni ngumu.

Huto tugari ni kwa ajili ya kuwapa wadada wa kazi kwendea sokoni n.k but si kutumia mtu mzima. Mi nashauri tusione kabla ya wakati. Tusubiri tu...siyo kuja kuwapa shida watoto wa watu.

"The hungry man is angry" just come and spit your stuff. Sisi tunakula maisha.nyie je mnakula nini?
Naona una undugu na yule bwana aliyesema IST ni nini vilee....? nimesahau cc: wadau JF
 
Kwani mtoa mada we ulianza na BMW ? Heshima ya wakwe nikuheshimu ndoa yako na ya Mke waliekupa na sio kuwaringishia magari unayofanyia ufuska humohumo na wao unawapakia humohumo umepandisha vidada wee...kutwa mkeo hana thamani thamani ipo na gari JINGA SANA AKILI ZA VIJANA .....Pooovu naomba maji nisuuuze
 
Tuna jua kumbe na ww ni Tajiri ume amua kumsimanga mshikaji wako kama yupo humu Bilashaka uzi Huu ame usoma vyema
 
sijaona BOSS wa maisha hayo anafungua THREAD jf...kuna wenye hela JF ila sio waanzisha thread hasa ww ndio 100% uhakika huna hayo maisha.
 
Back
Top Bottom