Vijana msiklizeni Mo Dewji

Vijana msiklizeni Mo Dewji

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,014
Reaction score
6,832
Young people: you gotta live within your means! Stop spending more than you earn trying to chase what you don’t have! Your motto should be: “live below your means but within your needs”. Only through discipline can you achieve financial peace.
 
Huyu nae hasitusumbue na utajiri wa kurithi hiv anekuwa yy ndo chanzo cha fedha hizo hapo kwao mbona tungekoma,babake na babu zake wako kimnya
 
Mkuu. Huyu Bw namuheshimu sana. Tatizo la vijana wengi nchi hii ni kulalamika na uvivu katika kufanya kazi na kupenda kula bata sana.

vijana wengi wanadhani mbaya wao na umaskini wao au kukosa ajira kuna sababishwa na chama cha mapinduzi. Kumbe sio kweli bali ni wao wenyewe kwa kushindwa kutumia fursa zilizopo na muda vizuri.

tatizo lingine ni kutokua na "MAONO" Na "MALENGO" Ukikosa vitu hivi 2 utakua kama mtumwa kwenye nchi iliyojaa maziwa na asali.

watakuja wageni wataziona fursa na kuzifanyia kazi nawatakuajiri kama kibarua.

Ndipo usemi wa penye miti hapakosi wajenzi unatimia kwa wageni na wanaojua kutumia walichonacho vizuri uongezewa unatimia.

mimi namshukuru Mwenyezi Mungu alinifundisha hekima ya kutoka na kuingia katika nchi yangu nzuri tanzania yenye kila kitu kizuri. Nakunibariki katika vitu vyote.

nanimewafundisha watoto wangu kamwe wasimwone mtu awaye yote kwamba ndio sababu ya kutokufanya vizuri maishani.

Maana Mungu hakuwaumba washindwe kufanikiwa. Kila mtu ni tajiri ila mpaka ujitambue.
 
Most young men nowadays adore careless living unprincipled life, with no sense of direction or purpose in life.
 
Huyu nae hasitusumbue na utajiri wa kurithi hiv anekuwa yy ndo chanzo cha fedha hizo hapo kwao mbona tungekoma,babake na babu zake wako kimnya
mkuu jifunze kwa waliofanikiwa. Mafanikio hayapatikani darasani kumbuka hilo.
 
Hana lolote huyo bwisi...hajui lolote kuhusu hustle,akae tu hapo atie visaini saini vyake wanaume wamfanyie kazi
 
Kwa dhama hizi hatunaga principle,, nikuangalia upepo tu unakoelekea,,, yeye ana principle sababu kazikuta toka kwa mababu zake,,
 
Atuambie kwanza kama yule dereva tax ndo mzungu aliyemteka
 
Mkuu. Huyu Bw namuheshimu sana. Tatizo la vijana wengi nchi hii ni kulalamika na uvivu katika kufanya kazi na kupenda kula bata sana.

vijana wengi wanadhani mbaya wao na umaskini wao au kukosa ajira kuna sababishwa na chama cha mapinduzi. Kumbe sio kweli bali ni wao wenyewe kwa kushindwa kutumia fursa zilizopo na muda vizuri.

tatizo lingine ni kutokua na "MAONO" Na "MALENGO" Ukikosa vitu hivi 2 utakua kama mtumwa kwenye nchi iliyojaa maziwa na asali.

watakuja wageni wataziona fursa na kuzifanyia kazi nawatakuajiri kama kibarua.

Ndipo usemi wa penye miti hapakosi wajenzi unatimia kwa wageni na wanaojua kutumia walichonacho vizuri uongezewa unatimia.

mimi namshukuru Mwenyezi Mungu alinifundisha hekima ya kutoka na kuingia katika nchi yangu nzuri tanzania yenye kila kitu kizuri. Nakunibariki katika vitu vyote.

nanimewafundisha watoto wangu kamwe wasimwone mtu awaye yote kwamba ndio sababu ya kutokufanya vizuri maishani.

Maana Mungu hakuwaumba washindwe kufanikiwa. Kila mtu ni tajiri ila mpaka ujitambue.
Penye miti HAMNA wajenzi.
 
mkuu hivi unajua huyu bwana kwa kulipa kodi wewe unatibiwa na watoto wako wanasoma bure?
Pale alipo hata wewe unaweza tu kukaa pale pale bila tatizo lolote..

Walaumu mababu zako mzeebaba,mim kama mimi mo dewji hawezi ongea kitu nimsikilize sina cha kujifunza kutoka kwake.

Nitamsikiliza mtu alienza na 0 sio yule tajiri wakuteuliwa na familia
 
Hahahaha tajiri wa viti maalum had kikao cha familia kikae
Pale alipo hata wewe unaweza tu kukaa pale pale bila tatizo lolote..

Walaumu mababu zako mzeebaba,mim kama mimi mo dewji hawezi ongea kitu nimsikilize sina cha kujifunza kutoka kwake.

Nitamsikiliza mtu alienza na 0 sio yule tajiri wakuteuliwa na familia
 
Pale alipo hata wewe unaweza tu kukaa pale pale bila tatizo lolote..

Walaumu mababu zako mzeebaba,mim kama mimi mo dewji hawezi ongea kitu nimsikilize sina cha kujifunza kutoka kwake.

Nitamsikiliza mtu alienza na 0 sio yule tajiri wakuteuliwa na familia
Huko unakoita kuteuliwa pia kunahitaji sifa
 
Back
Top Bottom