Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Kodi halipi momkuu hivi unajua huyu bwana kwa kulipa kodi wewe unatibiwa na watoto wako wanasoma bure?
Wanalipa METL GROUP
Kodi halipi momkuu hivi unajua huyu bwana kwa kulipa kodi wewe unatibiwa na watoto wako wanasoma bure?
Hapana jifunze kwa wenye furaha na amani ndio muhimu kwa maisha ukibahatika kupata pesa kula mema ya nchimkuu jifunze kwa waliofanikiwa. Mafanikio hayapatikani darasani kumbuka hilo.
kurithi ni jambo moja, kuendelea ni jambo lingineHuyu nae hasitusumbue na utajiri wa kurithi hiv anekuwa yy ndo chanzo cha fedha hizo hapo kwao mbona tungekoma,babake na babu zake wako kimnya
hii comment imenifanya nitabasamu na nicheke peke angu, tokea asubuhi nilikuwa nimenuna.Vijana wengi wanaishi juu ya uwezo wao
Wakipata vi 3m wanakimbilia kununua used corola ili watie heshima mjini
# vijana hwataki kulima wote wapo mjini
Wakishakula chips yai na kipaja cha bloiler wanakunywa maji mengi 1.5ltr ya uhai, Wanatafuta sehemu yenye kivuli waanze kumlaumu MAGUFULI
haujamuelewa vizuri hapo kaongelea kukiheshimu unachokitafuta na sio kutafuta na kutumia vibaya kile ulichokipataUyu jamaa hizo pesa amezirithi kutoka kwa familia yake asione kama watu wamelala hawatafuti pesa watanzania hawalali usiku na mchana wanapambana kutafuta ridhiki
haujamuelewa vizuri hapo kaongelea kukiheshimu unachokitafuta na sio kutafuta na kutumia vibaya kile ulichokipata