Kekule Wa Benzene Ring
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 277
- 1,178
Nimeshuhudia jinsi vijana wanavyotolewa kwenye reli na MAWAZIRI feki na viongozi feki kama vile Joel Nanauka ( aliyepewa uwaziri wa vijana).
With due respect Kwenye uwezo wake na Elimu yake na hata kuwa mwamini mwenzangu wa Kiroho Kwenye kanisa moja ila siungi mkono uwaziri wake na Serikali yake maana haikutokana na watanzania waliowengi na inanuka Damu.
Vijana msijisahaulishe kina Nanauka ni chambo chá kuwapumbaza Ili muone Serikali Ina wajali. Hakuna kitu kama hicho. Songeni mbele daini mabadiliko ya kudumu kiasi chá kwamba hata akija Shetani au malaika kutawala wote watatawala Kwa kufuata taratibu na heshima ya wananchi.
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA MUNGU WABARIKI WATAKA HAKI WOTE.