GE2025 Vijana Moshi: Hatufungui Biashara Tunaenda kwa Rais Samia

GE2025 Vijana Moshi: Hatufungui Biashara Tunaenda kwa Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, akiendelea na ziara za kampeni mkoani Kilimanjaro ambapo leo Septemba 30, 2025 anafanya kampeni katika Wilaya ya Same, huku vijana wa Moshi Mjini wakieleza kuwa wako tayari kumpokea na kuhudhuria mkutano wa kampeni utakaofanyika kesho Oktoba 1, 2025

Halafu vijana wa huko ndo wanajifanya watata kwa misimamo ya kutoyumbishwa na kusaka pesa.

Sasa hapo inaonesha washapewa elfu kumi wamelegea kama mlenda, hakuna cha utafutaji wanachojivunia, nao ni wavivu na maskini tu kama vijana wengine wanaowasemaga.
 
Vijana WA moshi tatizo wamelewa mbege subirini mbege ziishe kichwani mtakavyogeukwa
 
Fair trial nyerere analiketi kwenye kiti tokea 1900's ccm hawaokotagi kitu, wameamua uko moshi kuwafanyia burudani free ya wasanii wote wa wcb na 🚁. Lakini kaskazini huwa wanachukua pesa wana judge kwenye box 📦
 
Vijana wa Moshi wapo kazini we UVCCM kwanza hata kazi huna ni haki Yako kuwa chawa
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan, akiendelea na ziara za kampeni mkoani Kilimanjaro ambapo leo Septemba 30, 2025 anafanya kampeni katika Wilaya ya Same, huku vijana wa Moshi Mjini wakieleza kuwa wako tayari kumpokea na kuhudhuria mkutano wa kampeni utakaofanyika kesho Oktoba 1, 2025

Tangu lini moshi na arusha vijana mkawa na akili tangu lini hamjuagi mnataka nini na ndio maana hapo arusha msukuma kaja kawapa pombe na nyama sasa mnamwita mkombozi mkombozi shubamit zenu
 
Back
Top Bottom