ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,429
- 85,271
My Take
Wale mliooa walokole njooni mtoe uzoefu wenu Kwa Vijana 👇👇
Wale mliooa walokole njooni mtoe uzoefu wenu Kwa Vijana 👇👇
Fafanua shida ni Nini?walokole wanaolewa na walokole wenzao😂😂😂
The same hata vitabu vyetu vya dini vinasema hvo...walokole wanaolewa na walokole wenzao😂😂😂
πd²Hakuna kanuni maalumu...
Si jikajuaga na wewe ni mlokole eti??walokole wanaolewa na walokole wenzao😂😂😂
😂😂😂😂😂kwani nimejijumuisha hapo mbona unanitafuta maneno😂Si jikajuaga na wewe ni mlokole eti??
Anhaa.. sasa kwenye ma concert ya walokole huwa unatafuta nini kule???😂😂😂😂😂kwani nimejijumuisha hapo mbona unanitafuta maneno😂
nyimbo bhana napenda kusifu na kuabudu 😂hapa penyewe jumamos na jumapili shwaaa kwa Dr IpyanaAnhaa.. sasa kwenye ma concert ya walokole huwa unatafuta nini kule???
Unasifu na kuabudu,umejibebea na vi heinken vyako mwenyewe, koo likikauka kwa sifa unabana corridor kushushia kidogo..😂nyimbo bhana napenda kusifu na kuabudu 😂hapa penyewe jumamos na jumapili shwaaa kwa Dr Ipyana
Mlokole anaolewa na mlokole mwenzake, maana hayo mapaka watakemea pamoja, kanisani wataenda pamoja, wote wawili safari ya mbinguni itakuwa kipaumbele kwao, na ndoa yao itaenda tu