Vijana mnafel wapi? Jiaminini

Vijana mnafel wapi? Jiaminini

Umejikinai vbaya mno... Mm ni mbishi, hlf ni kiburi. Hizo za Masaki nishazila mno... Unaweza kua smart kichwani ila usiwe na hla kwa wakt huo kwan mipango haijaiva... Ila ukawa nazo mbeleni
Sasa mkuu pisi ya masaki utakutana nayo wapi wakati wewe maisha magumu unakaa tandale? Maisha yana classes mkuu unaishi kulingana na level ya class yako.
 
Kwani siwezi kwenda Mlimani City au Kwa mkapa ku check game na nikakutana nayo huko?
Ok fine unaweza kukutana nae huko na akakupa namba vizuri tuu, ehee baada ya hapo mawasiliano yataanza, utaweza kumudu outings za hapa na pale plus mizinga ya hapa na pale mpaka siku atakapoamua kukutunuku? Au mwenzetu ukishachukua namba kesho yake mtoto anaileta getto?
 
Ndo mnapofeli,nani alikuambia ukishachukua no kinachofuata ni mfululizo wa outings??? Nadhan ndipo nilipowapiga gap nyie nice men
 
Waambie mkuu, mjini pisi kali zinataka huduma sio uhendisam na ubishoo that's why most of them wanadate na vibabu ili wapate huduma, na utakuaje na maisha magumu uwe handsome??? Uhandsome unahitaji matunzo.

Concept ya Handsomeboy ni below 30, Abobe 30 Anatafutwa Gentleman.

Sasa ukiwa Kapuku, Pisi kali unaonana nazo wapi kwanza, Kwenye dala dala au bajaji?

Haoni kama hao nao ni choka mbaya tu kama yeye, utofauti hapo unakua mawigi tu.
 
Ok fine unaweza kukutana nae huko na akakupa namba vizuri tuu, ehee baada ya hapo mawasiliano yataanza, utaweza kumudu outings za hapa na pale plus mizinga ya hapa na pale mpaka siku atakapoamua kukutunuku? Au mwenzetu ukishachukua namba kesho yake mtoto anaileta getto?

Anataka ampandishe Mwendokasi, Wakati wenzakw wana request. 🤣
 
Concept ya Handsomeboy ni below 30, Abobe 30 Anatafutwa Gentleman.

Sasa ukiwa Kapuku, Pisi kali unaonana nazo wapi kwanza, Kwenye dala dala au bajaji?

Haoni kama hao nao ni choka mbaya tu kama yeye, utofauti hapo unakua mawigi tu.
S

Tofautisha pisi kali na demu wa kishua. Anaweza kuwa wa kishua ila asiwe pisi Kali. Na anaweza kua choka mbaya ila akawa bonge la pisi.
 
Mara ooh sins chapaa mtoto mzuri awezi nikubali,mara ooh sina kitu

Hebu acha nitoe ushuhuda wangu binafsi.mimi kuna time sikuwa naela, nilikuwa na life gumu kidogo

Nilipata offers nyingi kuotka kwa wadada wa kawaida mno ambao sikuwapenda.so nilidecline ofa zao

Nilijiamin ingawasikua na ela
Niliamini kwenye kujiamini na akili
So nilikiwa natongoza pisi kali tu na nilikua nakojolea pisi kali tupu

Why nilifanikiwa?
Kujiamini. Just that
Sikulalana mwanamke kwakua Nina nyege
Nililala namwanamke kwa kua alikuapisi Kali

Mbona mnakuamalofa vijan?
Km mm niliweza why ushindwee?
Why unajiona so cheap to thay point?

Change, be focused
Wewe unapatia wapi??
 
Mkuu ukishakua smart kichwani, lazima utakua na hela tuuu. Au wewe mwenzetu usmart wako ni kwenye kumbato na kutongoza tuu?

Yaani huna hela, huna mchongo, Huna biashara, Unakaa kwenye geto lako Tandale unaleta kujiamini kisenge uvute pisi kali inayo kaa masaki? Hell NO.

Utakula pisi kali ndio lkn n hizo hizo zinazokaa Tandale, Na Mnafanana kiwango cha mawazo na uchumi
kwanini tandale :AMOGUS:
 
Concept ya Handsomeboy ni below 30, Abobe 30 Anatafutwa Gentleman.

Sasa ukiwa Kapuku, Pisi kali unaonana nazo wapi kwanza, Kwenye dala dala au bajaji?

Haoni kama hao nao ni choka mbaya tu kama yeye, utofauti hapo unakua mawigi tu.
Pisi kali ni zile ambazo unagombania na kina Lugumi, mawaziri, wabunge, celebrities ukiweza kucompete nao good for you. Kuna madem kama nana dolls huyu dem kapewa hadi mjengo na maboss yupo mwingine anaitwa yammy kanunuliwa Lc mpya hizi wanazoendesha mawaziri unadhani dem kama huyu utampata handsome boy masikini?
Screenshot_20251110-225157_Instagram.jpg
 
Poor Brain huu uzi sio wetu, usijaribu kusogeza pua hapa.

Hawa madogo wanaongelea vitoto vya afu mbili.
Itoshe kusema litutumbwe ww bado kijana mdogo. Na hizo pisi kali unaosema wanakupenda kwasababu ya akili na kujiamini kwako wanaume weng tushapitia.

Ila ukikuwa utajua kuwa Mwanaume ni hela. Kwahiyo badilisha Kujiamini na akili yako kuwa mafanikio na uwezo wa kifedha.

Zaid ya hapo. Ukiwa 30+ na mentality uliyonayo utaishia kula pisi hizo unazosema kawaida.

Sasampa ni hela.
 
Back
Top Bottom