Vijana mliomaliza vyuo kwanini mnavuta bangi?

Habarini wanajf wenzangu hope mko gud kabisa.

Direct niende kwenye topic imekua kama culture kwa vijana wanaomaliza na waliomaliza vyuo vikuu na vya kati kwa asilimia kubwa unakuta ni walevi unywaji wa pombe uliopitiliza, wanavuta bangi,sigara,mirungi... nk

Mimi nashangaa sana halafu unakuta wanacomplain kwamba hamna ajira ili hali wao ni walevi,wavivu wanashindia madawa ya kulevya hususani bangi na kubet.

Nini hasa kinachowafanya kuwa wajinga namna hiyo au uko vyuoni kuna somo la ulevi??

Cc Intelligent businessman Edo kissy Fabian Vitus Usherman
Vyuo vikuu, Vya kati na Learning Institution nyingi ndipo vijana wa kutoka shule za aina zote hukutana kwa maana ya wale wakutoka familia Bora, Famialia zenye maisha ya kati na hata zile fukara. familia chache zinazojiweza ndizo hupeleka watoto hupeleka watoto mavyuo makubwa yenye majina na status kubwa za Ki-academic!

Hapo ndipo tabia za kila aina hupatikana, janga kubwa ni kwa wale watoto wa kike ambao wametoka katika familia za kawaida aua fukara wanapotamani kuishi maisha ya wengine kwa kumiliki na kuishi maisha ya gharama kwa kuiga bila kujua wengine yale ndio maisha yao tangu chekechea!!

Naomba niwape short story.......
Nai (sio jina halisi) anatokea Endask, wilaya ya Hanang' Mkoani Manyara, ni moja ya wilaya yenye wanawake wazuri kwa sura, rangi na maumbo popular wanaitwa wambulu/Wa-iraq.

Nai anadahiliwa UDSM course ya sheria, Nai nio mara ya kwanza kukanyaga Dar akiwa amesindikizwa na mama yake, Kwa kuwa walikuwa na Ndugu Eneo la Ubungo Kibo Basi mama yake aliomba nai ajihifadhi pale walau mwaka wa kwanza, Shangazi wa Nai akakubali kwa kutambua umuhimu wa Elimu. Mama wa nai akanunua simu ya Techno ili mwanae asikose mawasiliano.

Hata hivyo Nai hakuwa amepata mkopo hivyo wazazi walijitafuta kuhakikisha Nai anaanza masomo.

Baada ya miezi kadhaa Nai anaomba Kuhama kwa Shangazi yake na kuhamia kwenda kupanga na rafiki yake, (ili kurahisisha usomaji kwa madai yake)

Bila hiyana akapewa ruhusa .........wiki mbili baadae Nai anarejea kumsalimia Shangazi yake Ubungo Kibo akiwa hana tena techno bali ana Iphone 6 Mbili, kumbuka hiyo ni mwezi, Septemba 29, 2014 ni takiribani siku 10 tu tangu Iphone 6 izindulwe. kwa kifupi akawa anafanana na Iphone zenyewe (nadhani umenielewa)... Mtoto wa Kimbulu akawa amependeza balaa nywele hadi chini ya kalio!

Shangazi hakuwa na kubwa la kusema zaidi ya kushangaa na kutamani Iphone hata hivyo alimwambia "Mwanangu angalia hapa mjini......."

Basi maisha yalizidi kubadilika kwa Nai... kumbe Nai amepata Sponsor Mjini hapa baada ya kushawishiwa na wenzie ambao walimwona kabisa Nai analipa na huenda kwa uzuri ule Nai akawa ni kitega uchumi au namna fulani ya wao kupumzika na kula bata mjini hapa!!!

Miaka ikaenda Nai akawa anasukuma Ndinga ndogo tu haiizidi CC 1400, Kila msichana alitamani maisha ya Nai, miaka ikaenda akamaliza chuo akabaki mjini hakurejea kwao. Endasak..... 2019 Mjuba mmoja tofauti na yule sponsor akatangaza ndoa wakiwa kwenye harakati hizo nadhani mjuba alitaka kuchek afya kwa wote, very unfortunately Nai akakutwa ana maambukizi ya HIV hapo ndipo biashara ikaisha uzuri alikubali kuanza dawa na hadi sasa yupo kwenye matumizi ya ARV. Hayo ndio mambo ya Nai binti mrembo kutoka Endasak Hanang' baada ya kujiunga na UDSM.
 
Vyuo vikuu, Vya kati na Learning Institution nyingi ndipo vijana wa kutoka shule za aina zote hukutana kwa maana ya wale wakutoka familia Bora, Famialia zenye maisha ya kati na hata zile fukara. familia chache zinazojiweza ndizo hupeleka watoto hupeleka watoto mavyuo makubwa yenye majina na status kubwa za Ki-academic!

Hapo ndipo tabia za kila aina hupatikana, janga kubwa ni kwa wale watoto wa kike ambao wametoka katika familia za kawaida aua fukara wanapotamani kuishi maisha ya wengine kwa kumiliki na kuishi maisha ya gharama kwa kuiga bila kujua wengine yale ndio maisha yao tangu chekechea!!

Naomba niwape short story.......
Nai anatokea Endask Mkoani Manyara anadahiliwa UDSM course ya sheria, Nai nio mara ya kwanza kukanyaga Dar akiwa amesindikizwa na mama yake, Kwa kuwa walikuwa na Ndugu Eneo la Ubungo Kibo Basi mama yake aliomba nai ajihifadhi pale walau mwaka wa kwanza, Shangazi wa Nai akakubali kwa kutambua umuhimu wa Elimu. Mama wa nai akanunua simu ya Techno ili mwanae asikose mawasiliano. hata hivyo Nai hakuwa amepata mkopo hivyo wazazi walijitafuta kuhakikisha Nai anaanza masomo.

Baada ya miezi kadhaa Nai anaomba Kuhama kwa Shangazi yake na kuhamia kwenda kupanga na rafiki yake, (ili kurahisisha usomaji kwa madai yake)

Bila Hiyana akapewa ruhusa .........wiki mbili baadae Nai anarejea kumsalimia Shangazi yake kibo akiwa na Iphone 6 Mbili, kumbuka hiyo ni mwezi, Septemba 29, 2014 ni takiribani siku 10 tu tangu Iphone 6 izindulwe. kwa kifupi akawa anafanana na Iphone zenyewe (nadhani umenielewa)... Mtoto wa Kimbulu akawa amependeza balaa nywele hadi chini ya kalio!
Shangazi hakuwa na kubwa la kusema zaidi ya kushangaa na kutamani Iphone hata hivyo alimwambia "Mwanangu angalia hapa mjini......."

Basi maisha yalizidi kubadilika kwa Nai... kumbe Nai amepata Sponsor Mjini hapa baada ya kushawishiwa na wenzie ambao walimwona kabisa Nai analipa na huenda kwa uzuri ule Nai akawa ni kitega uchumi au namna fulani ya wao kupumzika na kula bata mjini hapa!!!

Miaka ikaenda Nai akawa anasukuma Ndinga ndogo tu haiizidi CC 1400, Kila msichana alitamani maisha ya Nai, miaka ikaenda akamaliza chuo akabaki mjini hakurejea kwao. Endasak..... 2019 Mjuba mmoja tofauti na yule sponsor akatangaza ndoa wakiwa kwenye harakati hizo nadhani mjuba alitaka kuchek afya kwa wote, very unfortunately Nai akakutwa ana maambukizi ya HIV hapo ndipo biashara ikaisha uzuri alikubali kuanza dawa na hadi sasa yupo kwenye matumizi ya ARV. Hayo ndio mambo ya Nai binti mrembo kutoka Endasak Hanang' baada ya kujiunga na UDSM.
Story nzuriii mkuu,
Ina mafunzo mengi Kwa dada zetu na sisi vijana...

Ila tambua ukimwi sio ticket ya Kifo wapo walio survive more than 20years na ukimwona hata huwezi mzania Kwa macho Kuna magojwa mengi yanaua balaa malaria 🦟 , homa ya ini E.t.c
 
Acha majigambo dogo, shukuru Mungu kwa nafasi uliopo ya kuandaliwa na kupewa. Hujui ugumu wa maisha wala ajira ndio maana unachomokwa tu hovyo sijui ni maharage ya wapi hayo?
Unaongea upuuzi mtupu kama vile kuna ajira kila mahali ila vijana ndio hawataku kazi!! Fikiria kabla ya kuongea.
 
Ulevi haujawai kua shida shida ni mtu mwenyewe unaji overdose na matumizi ya vilevi..

Kuna dogo mmoja walikua wanachukua DIAZEPAM TABS vidonge 10's anaviweka kwenye Glass then anamimina pombekali then anakunywa huo mchanganyiko..

Kwa wasio jua diazepam tabs ni kundi Moja na zile dawa zote za usingizi...

All in all,
Ulevi una uraibu ila it's better ukawa mnywaji.. nafaham watu kibao wa heshima zao na mafanikio Yao wanajali familia na jamii inawa appreciate wanakunya pombe na haziwapi shida..

Yaan Tatizo la kilevi chochote ni mtu binafsi mwenyewe wanalaumu kilevi kama excuse

NB

Mimi sio mtetezi wa walevi..l hate them
 
Inakuhusu nini? Kila mtu afanye yake.Bangi haina shida yoyote.
Sijui kwa nini mna akili za kidwanzi namna hii aisee. Mdau kaja na mada ya msingi sana, ajira kwa vijana imekuwa janga kubwa lakini bado graduates mnakuwa walevi na wavutaji wakubwa wa msuba na shisha (kwa maelezo ya mleta mada). Sasa hii maana yake mnaongeza tatizo juu ya tatizo, hata ukipewa mkopo uanze kabiashara ili walau ujiajiri hutaacha kula gembe weweee...
 
Habarini wanajf wenzangu hope mko gud kabisa.

Direct niende kwenye topic imekua kama culture kwa vijana wanaomaliza na waliomaliza vyuo vikuu na vya kati kwa asilimia kubwa unakuta ni walevi unywaji wa pombe uliopitiliza, wanavuta bangi,sigara,mirungi... nk

Mimi nashangaa sana halafu unakuta wanacomplain kwamba hamna ajira ili hali wao ni walevi,wavivu wanashindia madawa ya kulevya hususani bangi na kubet.

Nini hasa kinachowafanya kuwa wajinga namna hiyo au uko vyuoni kuna somo la ulevi??

Cc Intelligent businessman Edo kissy Fabian Vitus Usherman
Wewe una kazi ndo maana unaandika opinion kama hizi PRAY FOR THE BEST...BUT PREPARE FOR THE WORST...
 
Back
Top Bottom