Jonathan Kisungwe Member Joined Aug 21, 2014 Posts 11 Reaction score 6 Aug 23, 2014 #61 Mahakama ya kadhi itaidhinisha vifo vingi vya wakristo.. kama mnaitaka ifwateni uarabuni
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,320 Reaction score 103,582 Aug 23, 2014 #62 Mungu atawanyoosha siku moja
steveson manumbu JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 887 Reaction score 178 Aug 30, 2014 Thread starter #63 neggirl said: Kwa hiyo mkuu wewe unasubiri wizara ndio ije ikutengenezee maadili? Maadili yanaanzia nyumbani, ndipo yanaendelezwa ktk taasisi nyingine kama shule, vyombo vya habar, serekali na taasisi za dini. Suala la maadili linamhusu kila mtu. Click to expand... nyie si ndo wa kwanza mnao ruhusu vidogo vyenu na na nyie mkiwemo kutoka hivyo na mnaona fahari?
neggirl said: Kwa hiyo mkuu wewe unasubiri wizara ndio ije ikutengenezee maadili? Maadili yanaanzia nyumbani, ndipo yanaendelezwa ktk taasisi nyingine kama shule, vyombo vya habar, serekali na taasisi za dini. Suala la maadili linamhusu kila mtu. Click to expand... nyie si ndo wa kwanza mnao ruhusu vidogo vyenu na na nyie mkiwemo kutoka hivyo na mnaona fahari?
Guus JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,167 Reaction score 907 Aug 30, 2014 #64 Nilikuwa mbioni kuuliza; wapi "team picha"? Ahsante kwa memba kutokea, kula gwala stable woman said: Habari kama hii inanoga na picha kidogo! Click to expand...
Nilikuwa mbioni kuuliza; wapi "team picha"? Ahsante kwa memba kutokea, kula gwala stable woman said: Habari kama hii inanoga na picha kidogo! Click to expand...