Wana jf nimefanya tafiti ndogo tu kujua ni viongozi wapi wanaopaswa kupumzika na majukumu yao yakabidhiwe kwa vijana kutokana na sababu za umri na nafasi zao kuachiwa vijana,wametumikia taifa kwa muda mrefu na sasa watuachie vijana tuwasaidie na wao wapate pumzika.haya ni majina na mbele ni umri wao,kama unawafahamu wengine ongeza ili tupate takwimu ni kiasi gani vijani wanashiriki katika ujenzi wa taifa hasa kisiasa na nafasi kubwa.
1.sita(mb) -70
2.kapuya(mb) -67
3.pinda -64
4.slaa -64
5.a.makinda -63
6.lowassa -59
7.wassira -65
8.mwandosya -63
9.
1.sita(mb) -70
2.kapuya(mb) -67
3.pinda -64
4.slaa -64
5.a.makinda -63
6.lowassa -59
7.wassira -65
8.mwandosya -63
9.