GE2025 Vijana Kibaha waahidi kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura

GE2025 Vijana Kibaha waahidi kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Vijana wa Mji wa Kibaha Mkoani Pwani wamesema watatimiza haki yao ya kupiga kura kwa kujitokeza kwenye Vituo vya kupigia kura Oktoba 29 mwaka huu.

Aidha, wameeleza kuwa Vyama vya upinzani haviwezi kushika madaraka kwa vina migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na tamaa ya kushika dola.
 
Back
Top Bottom