Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,193
Wabunge wa majimbo ya uchaguzi 2020 - 2025 wengi wao hawatarejea bungeni kwa sababu wamechagua kupata pesa kuliko kuwatetea wananchi.
Hivi leo hii kwa nyakati hizi za bila umeme na maji enzi za wabunge wa kweli kina Mnyika,Lema,yule dalali Zitto,Slaa na wengineo wenye kariba ya hao mijadala ingekuwaje?!
Yaani wawakirishi wa leo wanakaa na kupongezana tu bila kujenga japo hoja moja katika nyakati ngumu na hali ya kiuchumi kwa wananchi?
Vijana jipangeni kwenda kugombea majimbo kwa kutumia mapungufu ya hawa wasio na hoja. Nawathibitishia hata km watarejea kugombea kwa rushwa safari hii pesa yao italiwa na wananchi watapiga kura kwa wanaye mtaka.