Vijana jifunzeni programming you wont regret it


soma na practice vitu ulivyosoma usipo type examples au kufanya exercise lazima utape tape by the way umesoma kitabu chote hicho kweli afu ukatoka kapa au ulikua una rush msingi kitabu kiishe!

naweza ku recommendia course hii hapa! Complete Java Masterclass Udemy Download Free | FreeTutorials.Us
 
dah nilisoma c++ nikaishia njiani. Inanibidi kuanzia moja maana nina plan ya kuwa na mobile application kwahioy kujua programming ni vizuri
 
Ndio naanza jifunza html wadau, hakuna whattsap group spécial kwa programming ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu achana na magroup ya kibongo wengi wazinguaji tu wewe komaa peke yako.
Mimi nilikuwa na soma free code Camp jamaa wanashauri ku join nearby fb group nikatafuta group nikapata liko dar baada ya kucheki group lina miaka kama 3 lakini halina chochote constructive nikalipiga chini nikawa na komaa mwenyewe na project zilizopo FCC
 
aah nimekuelewa mkuuu ishu ni kwamba nimesoma kitabu hcho nkawa nimeplactise tuu ile mfano yote ya mule kitabuni sasa je? mkuu kwakufanya mazoez mbalimbal naweza kujua kutengeneza web based system ama android app apo ndio hcho ktu kilikuwa kinanitatiza pia mkuu?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo vizuri kumkatisha mtu tamaa kujifunza vitu.

Nimpe matumaini gani sasa kama hajui ni hajui.Ukiona umefikia mahali mpaka unaangalia video youtube ili upate motivation ujuwe it wasnt meant for you
 
Afu mzee ipi njia bora kat ya hiz;
1. kuanza kuandaa project kama nna idea then kitu kikinishinda ndio nikasome.
2. ama kusoma kabisa kila kitu then niandae project ipi bora apo mkuu wangu??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Course na Vitabu special kwa ajili ya kutengeneza web app au android apps.
Kujua tu Java haupaswi kuishia hapo!

Lazima ujifunze Spring Framework mfano ndo utaweza tengeneza web app/java servlets au ujifunze Android Programming kabisa baada ya kujifunza zile basics!
 
dah nilisoma c++ nikaishia njiani. Inanibidi kuanzia moja maana nina plan ya kuwa na mobile application kwahioy kujua programming ni vizuri
Mimi naona ni choice mbaya kutumia C++ Kwa ajili ya Android labda kama una target projects ambazo zinataka sana perfomance kama games.
Mimi naona bora uende na Java au kama unajua C# uende na Xamarin kabisa.
 
Naisoma hiyo ila nahitaji njia tofauti maan hyo sieve inakula memory sana

kama hautojali mkuu unaweza kuonesha ulivo implement na inavokula Memory?
Maana mimi nimseoma kitabu fulan cha Boujarne stroustrup na moja ya exercise kwenye vitabu vyake ni hilo na recommendations alizotoa ni kujaribu hiyo classical method!
 
Naisoma hiyo ila nahitaji njia tofauti
kama hautojali mkuu unaweza kuonesha ulivo implement na inavokula Memory?
Maana mimi nimseoma kitabu fulan cha Boujarne stroustrup na moja ya exercise kwenye vitabu vyake ni hilo na recommendations alizotoa ni kujaribu hiyo classical method!

sorry man i dont share source code all i can tell you ni kwamba function iko implemented vizuri ila inatakiwa ku run kwenye raspberry pie so memory ni critical sana. Kwenye N = 1 million process ina run out of memory
 
i am a lawyer, mwanaasheria kama mimi ukiniambia kitu inaitwa programming, hata sijui unamaanisha nini, ninachojua mimi ni internet, microsoft office, access, excel na kutype kutengeneza nyaraka za mahakamani. what is it, and how can that thing help me as a lawyer? kuna mahesabu kwamfano nikitaka kwenda shule kabisa (labda niende udsm computing centre hapo etc)....binafsi nina mpango kutaka kuendesha website mimi mwenyewe bila kutumia mtu au kutengeneza zingine mimi mwenyewe. utatoa detail kidogo tufaidie sisi wengine tuliokimbia hesabu?
 
sorry man i dont share source code all i can tell you ni kwamba function iko implemented vizuri ila inatakiwa ku run kwenye raspberry pie so memory ni critical sana. Kwenye N = 1 million process ina run out of memory

Can u show with this code then kama hauwezi share yako!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…