Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,783
- 35,766
Nenda youtube search "africom developers" kuna jamaa alikua anaanda videos za wanaoanza programmingMi kiukweli napenda kujifunza hizi mambo na cjui nianzie wap yan cna njualo Katika computer pia uwezo wa kununua laptop nnao hata kama ni million ndugu yetu kama una moyo anzisha watsap group kama walivoshauri wenzetu
App kama ipi ambazo unaweza jifunza programming language?sio kweli coz kuna app zilizo kwenye lugha ya kiswahili
Naomba niwe wa kwanza kujoinniko mbioni kuregister NGO itakuwa inafanya kazi kama TANZANIA HOUSE OF TALENT
but ya kwangu ni AFRO CODER CAMP
to empower young african talents develop coding skills
Kwenye database connection unaweza ukatumia Php au language nyingine naHivi nauliza hiki kitu je inawezekana kuunganisha HTML/CSS pamoja na msql..
W3schoolApp kama ipi ambazo unaweza jifunza programming language?
Ukimaliza HTML endelea na CSS then JavaScriptMi ckua najua chochote zaid ya kua blogger, but baada ya Uzi huu nmeanza kujifunza HTML, so wakuu naomben ushaur wenu pa kuanzia
Asilimia kubwa ni masomo ya PM (physics & Math)Niko interested sana na kusomea programming..swali langu..Ni masomo gani ya shule yanahitajika ili kujiunga na IT na course zake kwa ujumla?
Sawajisajili freecodecamp.org
utaanza kujifunza from zero to hero