Vijana hii imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana hii imekaaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Oct 18, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nchi yetu ina vijana wengi sana Wasomi , wengine wanaendelea kusoma, vijana wenye nguvu za kufanyakazi za ujenzi wa Taifa la Tanzania. Jambo la kushangaza ni kwamba elimu yote tuliyo nayo kama vijana, nguvu zote tulizonazo pamoja na fursa nyingine nyingi kama vijana , vyote hivyo vimeingiliwa na watu ambao aidha wanaonekana wana uelewa zaidi kuliko sisi vijana ama wanafanya makusudi ili mradi tu malengo yao yaweze kutimia. Vijana tumekuwa msatari wa mbele kuhamasishwa kutumia nguvu zetu, elimu tuliyo nao kufanya mambo ambayo kwa namna moja au nyingine ni wachache watakaonufaika nayo. Tumekuwa mstari wa mbele kujihusisha katika migomo ambayo siyo ya lazima, maandamano yasiyo ya lazima na hata kufikia hatua ya kutoa lugha chafu kwa Wazazi wetu, wakubwa zetu, viongozi wetu wa dini na hata wa Serikali. Je Mwisho wa siku tutamlaumu nani? ni mara ngapi tumetumia elimu na nguvu tulizonazo kushiriki kwenye makongamano, shughuli za uzalishaji mali, ushauri , ili nafasi yetu kama vijana iweze kuonekana katika jamii? Tutafakari hili vijana wenzangu ili nafasi yetu katika jamii iwe chachu ya maendeleo, amani na utulivu katika Taifa letu la Tanzania. Tutambue kuwa itikadi za kidini, kisiasa hupata msukumo wa nje kwenda kwa watu maarufu lakini kupitia kwa vijana kama ngazi ili mradi tu hawa watu wa nje pamoja na wafuasi wao watimize haja zao huku wakiacha kundi hili likiangamia.
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kama we msomi basi una matatizo!
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hebu ungeiweka short and clear tujue untaka kuzungumzia ninia???
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  nadhani maana yake kubwa ni tukae kimya pale mifisadi inapotufisadi....nina wasiwasi jamaa ana background ya mafisadi!
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hujaeleweka unachotaka ni nini? ni kama mtu kakutuma useme jambo flani bahati mbaya ukaingia chaka,unaanza kukatisha tamaa kama we ni mmojawapo ya vijana halafu unaanza kwa kutumiwa
   
 6. Also me

  Also me Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  vijana gan hao unaowamaanisha?!... maana wengine fursa ya kupata elimu 2meikoxa na mixemo yenu ya
  >NO LOAN
  >PREVIOUS LOANEES
  >BUDGET DEFICITY e.t.c. xaxa unataka 2fanye nn na wazaz hatuna,
  hebu nenda zako huko kalale!...
  "oooh vijana, vijana...."
  UNATULISHA WW?!....
   
 7. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  umekosa uwezo wa kufikiri , alianza vizuri, amemaliza vibaya. ana mawazo mgando kwa vile inaonyesha ni mtoto wa fisadi mmoja, hajui shida, wala hajui kwa nini vijana wanakuwa hivyo kwa hivyo tumsamehe.
   
 8. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  we unajifanya kijana? uskute we ni kingunge au mukama unatuzuga tu hapa, utajua nguvu ya vijana 2015 p.u.m.b.a.f. wewe
   
 9. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Unaungana na ile kauli ya hujui kwann watanzania masikini?na ww hujui kwann vijana wanaandamana?wakae kimya fursa na rasilimal zilizopo zinatumia na wachache?wasiandamane kwa kunyimwa na kucheleweshewa mikopo pesa walipwe dowans,wakiwa kama wajasilia mali wakae kimya wasizalishe na kuendeleza biashara zao huku umeme wa mgao?mbona una mawazo kama ya kingunge na chiligati,tutakaa kimya cku moja kama mambo yataenda sawa usindanganywe na hiyo ajira yako unayomiliki leo kuna vijana wengi sana wamemaliza vyuo vikuu hawana ajira na wao wakae kimya?
   
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  this topic has a very high salvage value
   
 11. M

  Madaraka Amani Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Topic ni nzuri inahitaji kuondoa ushabiki ili kurespond hata hivyo uhuru wa kujieleza ni muhimu kuuzingatia. na kazi tufanye
   
Loading...